Watapata taabu sanaKuna Watu Wanapata Tabu
Wamefungwa IRINGA wamefungwa Dar
Niyonzima leo kaupiga wa hatari. Mimi sikulaumu alivyoingia ila nilidhani anakuja toka Chama.Wangapi Tulilaumu Sub Ya Niyonzima??
Kwa mchina mleteni hata Barcelona [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
, silaliI leoNalia kwa furaha hapa kamanda
Woyoooo ngoja nikuje nikutumie mwenyewe shemela wangu acha nikupende tu mm
Kumbe tupo pamoja mama, kwangua vocha kwa mangi apoWoyooooooo
Vyoteeee mfyuuuuuCha mbwa au ng"ombe?
La kwanza, kila mtu hamtaki al ahly, huyo hatukutani nae.
Sijawahi kutoa machozi miaka kibao ila leo yanabubujika kama chemchem... Hakika sijawahi kujuta kuwa shabiki wa MNYAMA...
Mungu Ibariki SIMBA.... Mungu tubariki mashabiki wa SIMBA...
Sawa Mrs Zahera nimekuelewaVyoteeee mfyuuuuu
Mimi sio shabiki wa Simba wala Yanga,lakini nilivyoshangilia leo sijawahi dhani ntakuja kushangilia timu ya bongo hivi.......MUNGU IBARIKI TANZANIA.