Mungu ibariki AS Vita, Amen [emoji1488]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Yaani ni shidaaa!! Toka niwe mkazi wa jiji hili sijawahi ona shangwe hizi!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiki ndio kile kikosi kipana au kuna kingine?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Asante Mungu umenijibu mapemaMungu nakuomba ufunge mwenyewe goli
Nakazia
Hii ndio tofauti ya mawazo yako kama shabiki na Mawazo ya kitaalamu ya kocha Patrick AussemsHii sub itawagharimu hakika
CC Zero IQ
Kwenye kukazia umenijumlisha au nikazie kivyangu.
Kwako mwalimu kashasha ningeomba ukazie kivyako π π
Muujiza Simba kushinda kwa Mchina ! Unawakosea wana Simba, muujiza huwa ni pale Yanga wanaposhinda kwenye haya mashindano, sio Simba mkuu. Soura aipigwa, Ahly alipigwa, Nkana alipigwa, Manzini alipigwa, sasa muujiza uko wapi hapo?
Hahaha, sipati picha ulivyofurahi huko.