Ligi ya Klabu Bingwa Afrika: Simba SC 2 - 1 AS Club Vita | Simba yafuzu kucheza hatua ya mtoano 2019

Ligi ya Klabu Bingwa Afrika: Simba SC 2 - 1 AS Club Vita | Simba yafuzu kucheza hatua ya mtoano 2019

Simba hatutaki mpambe kudadeki mwanzo mlikuja na jeuri na ushangingi saizi hatutaki shobooo, wahehe wamewatandika hamna paku pozea maumivu mnataka mtie maguu simba, tushasema hatutaki mpambe

Sent using unknown device
 
Hii kitu kama muujiza aisee! Acha watu wafurahieeee

Sent using Jamii Forums mobile app
Muujiza Simba kushinda kwa Mchina ! Unawakosea wana Simba, muujiza huwa ni pale Yanga wanaposhinda kwenye haya mashindano, sio Simba mkuu. Soura aipigwa, Ahly alipigwa, Nkana alipigwa, Manzini alipigwa, sasa muujiza uko wapi hapo?

Hiyo ndio faida ya kikosi kipana, Mkude nje, Okwi nje, Juuko nje, Kichuya nje, na bado Simba wanapeta. Upande wa pili wanaweza hilo?

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom