Ligi ya Klabu Bingwa Afrika: Simba SC 2 - 1 AS Club Vita | Simba yafuzu kucheza hatua ya mtoano 2019

Nadhani leo ile "biashara kongwe ya kuuza na kununua" itakuwa na wateja wengi, hata majumbani vitanda vyetu vitathibitisha kuwa mnyama kapiga mtu. Jitahidini na nyie mfungane 2-1[emoji125][emoji125][emoji39]
 
Leo Vyura wangemfunga mhehe then Vita wakamfunga Simba aisee nadhani leo kelele za Vyura zingekuwa kubwa zaidi ya kawaida!!!

Sasa Zahera kawauza vyura na Vita at the same time!

Zahera agiza mzinga wa Ulanzi na supu ya mbwa kwa Mfugale nakuja kulipa!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafadharini Vyura hatutaki kesi za ugomvi majumbani mwenu

Hukulazimishwa kuwa mwanachura ila ni moyo wako ulipenda

Hivyo basi natoa angalizo, muwe watulivu watu gani mnashangilia kila timu?

Mmekuwa kama mwanamke asiye na msimamo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…