Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha! Duh!Simba hatutaki mpambe kudadeki mwanzo mlikuja na jeuri na ushangingi saizi hatutaki shobooo, wahehe wamewatandika hamna paku pozea maumivu mnataka mtie maguu simba, tushasema hatutaki mpambe
Sent using unknown device
Hiki ndio kile kikosi kipana au kuna kingine?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sijapata jamaniii
Ndicho kitakachotokea hiki ndugu yangu.Du. Mpaka hivi sasa simba ni miongoni mwa timu nane bora afrika.. Hatua kubwa sana. Mzaa mzaa Mara tunachukua Ndoo.
Haaaaaaa mkuu umetishaaaa, kunywa nyingine nakuja kulipaYale mashambulizi dakika za kuanzia za themanini yalikua hatari sana
Kuna muda badala ya kuweka kinywaji mdomoni nikawa naweka puani mzuka wa ajabu yani
Nimescreenshot nitakukumbusha teh!Tar 7 June nidai kitu...!
Nimescreenshot nitakukumbusha teh!
Hutahitaji kunikumbusha...!
Na kila mwanaume wanamshobokeaTafadharini Vyura hatutaki kesi za ugomvi majumbani mwenu
Hukulazimishwa kuwa mwanachura ila ni moyo wako ulipenda
Hivyo basi natoa angalizo, muwe watulivu watu gani mnashangilia kila timu?
Mmekuwa kama mwanamke asiye na msimamo
Sawa nitakudai siku ikifika