Enlightenment
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 1,321
- 3,299
Unaendeleaje na Timu zakoAsalam Alaykum
Hiyo ndio AS Yanga Vita bwana.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahahaha, haya bwana..Ipoooo wewe tu!!! Na imeboreshwa zaidi Kwa hisani ya Simba[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani ni shida kama ndo tumenyanyua kwapa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],asante mumeHahahaha, haya bwana..
Huku mtaani tunasikia tu "Zis Simba" [emoji39][emoji39][emoji23][emoji23][emoji23] hongereni lakini!!!
dah! Umenikumbusha yaan ukiwa bonde la Kilombero wachawi huwa wanatwishana shiling then kwabibi kwenda kunyolewa ukirudi uchawi ubakufa.Binamu imethibitishwa wewe ni mchawi, nenda Ifakara ukanyolewe kwa Binti Ndembo au kwa Bi Kalembwana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Simba sio imeshinda tu, imeingia robo fainali club bingwa.Yanga kafungwa, Simba kashinda. What A Bad Day!!!