Ligi ya Klabu Bingwa Afrika: Simba SC 2 - 1 AS Club Vita | Simba yafuzu kucheza hatua ya mtoano 2019

Ligi ya Klabu Bingwa Afrika: Simba SC 2 - 1 AS Club Vita | Simba yafuzu kucheza hatua ya mtoano 2019

Msijifiche kwenye kivuri cha utakatifu wetu hatu na ushirika na mashetani
FB_IMG_15528017956776869.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
sio Simba oyeee, MO Dewji oyeee ????
maana sielewi juhudi za JPM ni zipi kwenye udhindi wa Simba.
 
Dah simba inanichanganya sana ikicheza taifa mpaka najiuliza tunashindwaje kulisakata namna ile ugenini? Nimefurah sana weekend imekua murua..na leo ndio nimejua kwanin mashabiki tunafia uwanjan hata kama timu yako imeshinda

Ugenini ilitukost sana pengo la nyoni na kapombe madhali nyoni karudi na zana yuko katika fom basi ondoa hofu wawa hajui kutuliza timu lakini nyoni amejaaliwa hilo


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii inaitwa kuchekea chooni ! Unanikumbusha fisiemu kina marehemu Ditopile walitaka kubadilisha matokeo ya ushindi wa NCCR pale temeke walijifungia Lumumba nakumbuka marehemu Nyerere alikuwa Newyork akampigia simu dito akamwonya usithubutu kufanya lolote katika hesabu za wapiga kura temeke nakumbuka dito alikimbilia chooni akacheka na kurudi na Hesabu halisi Lumumba haikujua nini kimemkuta dito na Hesabu ile original
 
Nimemgundua kawa mjanja sana sana! Alipobaini Simba inanafasi ya kusonga mbele alitoweka mapema tu kabla ya hata game kumaliza
Hahahaaa. Hujanijua Mtani huwa mwisho wa kuingia JF ni saa 12 saa moja jioni nje ya hapo huwezi niona humu mpaka Alfajir.

Nikimbie nini sasa? 🙈🙈🙈
 
Hivi Ajib akisajiliwa Simba pale atachezs no ya Nani yeye mwenyewe ameona mbali ndio maana kakimbilia pale anapohisi atapata no
 
Hivi Ajib akisajiliwa Simba pale atachezs no ya Nani yeye mwenyewe ameona mbali ndio maana kakimbilia pale anapohisi atapata no
Aje kufanya nini?? ana nux mno, ana miaka karibu 8 Premier League.. hawajawah kubeba lile kombe... amekaa simba weee imepitia msoto mwanzo mwsho.. kaondoka tu kahama nao, abak huko huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom