Ligi ya Klabu Bingwa Afrika: Simba SC 2 - 1 AS Club Vita | Simba yafuzu kucheza hatua ya mtoano 2019

Ligi ya Klabu Bingwa Afrika: Simba SC 2 - 1 AS Club Vita | Simba yafuzu kucheza hatua ya mtoano 2019

Hivi hili jina LIPULI lina maana gani mbona kaa tusi hivi.

Hili Jina tumelitoa katika chama chetu cha CHAPUTA yaani kwa ufupi ni PULI tu..

Sasa Ndala kajipendekeza kwa wazee wa Puli wakampa kimoja cha Mbioni.
 
Nadhani tunazidi kushuhudia juhudi za mheshimiwa rais katika kuleta mabadiliko ya kweli na kurejesha furaha kwa watanzania ambao nyuso zao zilipoteza Siha kwa muda mrefu.jana usiku nchi karibu yote ilizizima kwa ushindi wa Simba.huu Ni uthibitisho kuwa wananchi wanashiba ndio maana wanashangalia namna ile.kama maisha yangekuwa magumu wananchi wangetoa wapi NGUVU za kushangilia.ushindi wa simba unafanya wananchi angalau wazidi kusahau machungu kidogo ya kubaniwa ujanja ujanja waliokuwa wameuzoea.hakuna kuchonga Sana kazi kubwa maneno kidogo.ungana na Tanzania mpya tuendelee kufurahia vya kwetu Tanzania ya Simba,Tanzania ya Magufuli.
Kumbe ndiyo maana mnatukanwa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom