Van pebles
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 2,861
- 5,305
Sasa iv utaamia timu ipiHahahaaa. Jana haukukatika ila nilikuwa nimelala tu Mtani. Maana nilichukia acha tu. [emoji17][emoji17]
Hahahaaa. Ningeiona hii kwa wakati. Ningeota Mtani. 😅😅😅😅
Msijifiche kwenye kivuri cha utakatifu wetu hatu na ushirika na mashetaniView attachment 1047387
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaa. Ila mmetuweza jamaani. Khaaaa.Mida kama hii kuna Mtani Shadeeya anakuwa hewani tayari, ila leo nina uhakika atakuwa na udhuru.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah simba inanichanganya sana ikicheza taifa mpaka najiuliza tunashindwaje kulisakata namna ile ugenini? Nimefurah sana weekend imekua murua..na leo ndio nimejua kwanin mashabiki tunafia uwanjan hata kama timu yako imeshinda
Mungu ni mwemaHivi mbona simba wanatutendea mema hivi mashabiki hongereni sana wachezaji wetu pendwa
Happiness is a lifestyle
Wa Alaykum Musalaam wa Rahmatullah taala wa barakatuh.
Nimekuja Mtani! Vp ile presha uliyokuwa nayo ishashuka?
Hahahaaa. Hujanijua Mtani huwa mwisho wa kuingia JF ni saa 12 saa moja jioni nje ya hapo huwezi niona humu mpaka Alfajir.Nimemgundua kawa mjanja sana sana! Alipobaini Simba inanafasi ya kusonga mbele alitoweka mapema tu kabla ya hata game kumaliza
Yeyote mtakayopangwa nayo. 😎😎😎
Aje kufanya nini?? ana nux mno, ana miaka karibu 8 Premier League.. hawajawah kubeba lile kombe... amekaa simba weee imepitia msoto mwanzo mwsho.. kaondoka tu kahama nao, abak huko hukoHivi Ajib akisajiliwa Simba pale atachezs no ya Nani yeye mwenyewe ameona mbali ndio maana kakimbilia pale anapohisi atapata no