GREAT NAME
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 1,078
- 1,718
HONGERENI WATANI ZANGU KWA KUIWEKA HISTORIA NA KUFIKA QUARTER FINAL AMBAPO MNA ZAIDI YA MIAKA 15 HAMJAFIKA HUKO. JAPO NILIKUWA MKONGO JANA ILA KUWAPONGEZA MUHIMU JAMANI.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HONGERENI WATANI ZANGU KWA KUIWEKA HISTORIA NA KUFIKA QUARTER FINAL AMBAPO MNA ZAIDI YA MIAKA 15 HAMJAFIKA HUKO. JAPO NILIKUWA MKONGO JANA ILA KUWAPONGEZA MUHIMU JAMANI.
Hakuna kukata tamaa eeh!Acha tu niliumia nikijua furaha tutaipata kwa Mkapa mwishowe ikawa kinyume.
Ila ndio mpira huo japo hakuna kukata tamaa mpaka tone la mwisho ndio nitaamini kweli tumeukosa ubingwa.
Ngoja ni Msake huyu Kaka wa mie. Sidhani kama kajidhuru. Itakuwa Mtandao uko chini au simu imeisha chaji na umeme umekatika. 😎😎Kuna kijana wenu anaitwa hazard cfc hapatikani, mtafuteni asije akawa amejidhuru.
Yeyote mtakayopangwa nayo Mkuu.Hakuna kukata tamaa eeh!
Kwa hiyo sasa unachagua ipi?
Mamelod sundown
Esperance
Tp mazembe
Costantine
Es tunis
au
Horoya?
Hivi unajua tukifika nusu fainali tunawabeba nyie na azam msimu ujao kwenda champions league? Yaani tiketi zenu tunakuwa nazo sisi maana sioni mkichukua tpl miaka ya hivi karibuni hivyo kama mtaingia champions league basi kupitia mgongo wetu.
Haya bhana. Furahi na hii basi. Jisikie vizuri.Yeyote mtakayopangwa nayo Mkuu.
Ikitokea haitakuwa mbaya Mkuu. Sababu ndio maendeleo hayo hasa kwa Soka letu la TANZANIA.
Aiseeeeee.Haya bhana. Furahi na hii basi. Jisikie vizuri.
View attachment 1047450
Amekula kiapo kitakatifu kuhama ni lazima maombi yafanyikeNakazia hapo kwenye kuhamia
Nilibaki mm tu ShadeeyaHahahaaa. Watani zangu Mmejua kunimention jamaani. Lol.
Hongereni.
Haya bhana. Furahi na hii basi. Jisikie vizuri.
View attachment 1047450
Sikulala eti, naanzaje kulala Shadeeya nilikua namsubiri manara atoe neno, naniiiii wakutuzuia sisi pale kwa mchina ni kaburi eti tunawazika wazima wazimaAhsante Mtani. Kuhama timu sisi kina YANGA lialia ni ngumu mno Mtani kama Ngamia kupita kwenye tundu la Sindano. Hivyo nakomaa na Yanga yangu tu mpaka mwisho.
Nauliza tu jana ulipata usingizi kweli Mtani?
Na kweli Ujue. Hongera bana.
Huyo kaka yako si katia figusi figusi kabla ya mechi, eti ana jambo la kuripoti kwa CAF, kocha wa vita wanasimba tumemvamiaNgoja ni Msake huyu Kaka wa mie. Sidhani kama kajidhuru. Itakuwa Mtandao uko chini au simu imeisha chaji na umeme umekatika. [emoji41][emoji41]
hazard cfc uje kaka ake.
"aside na friends of simba"
"Robo fainali"Au mi ndo sielewi kaingia robo fainali au mtoano 16 bora?
Ila mlistahili Mtani. Japo simpatii picha huyo Manara maneno za Shombo alizozimwaga huko Insta mbona leo tutakoma.Sikulala eti, naanzaje kulala Shadeeya nilikua namsubiri manara atoe neno, naniiiii wakutuzuia sisi pale kwa mchina ni kaburi eti tunawazika wazima wazima
Happiness is a lifestyle
Acha tu niliumia nikijua furaha tutaipata kwa Mkapa mwishowe ikawa kinyume.
Ila ndio mpira huo japo hakuna kukata tamaa mpaka tone la mwisho ndio nitaamini kweli tumeukosa ubingwa.