Ligi ya Klabu Bingwa Afrika: Simba SC 2 - 1 AS Club Vita | Simba yafuzu kucheza hatua ya mtoano 2019

Acha tu niliumia nikijua furaha tutaipata kwa Mkapa mwishowe ikawa kinyume.

Ila ndio mpira huo japo hakuna kukata tamaa mpaka tone la mwisho ndio nitaamini kweli tumeukosa ubingwa.
Hakuna kukata tamaa eeh!
Kwa hiyo sasa unachagua ipi?
Mamelod sundown
Esperance
Tp mazembe
Costantine
Es tunis
au
Horoya?

Hivi unajua tukifika nusu fainali tunawabeba nyie na azam msimu ujao kwenda champions league? Yaani tiketi zenu tunakuwa nazo sisi maana sioni mkichukua tpl miaka ya hivi karibuni hivyo kama mtaingia champions league basi kupitia mgongo wetu.
 
Yeyote mtakayopangwa nayo Mkuu.

Ikitokea haitakuwa mbaya Mkuu. Sababu ndio maendeleo hayo hasa kwa Soka letu la TANZANIA.
 
Ahsante Mtani. Kuhama timu sisi kina YANGA lialia ni ngumu mno Mtani kama Ngamia kupita kwenye tundu la Sindano. Hivyo nakomaa na Yanga yangu tu mpaka mwisho.

Nauliza tu jana ulipata usingizi kweli Mtani?
Sikulala eti, naanzaje kulala Shadeeya nilikua namsubiri manara atoe neno, naniiiii wakutuzuia sisi pale kwa mchina ni kaburi eti tunawazika wazima wazima

Happiness is a lifestyle
 
Au mi ndo sielewi kaingia robo fainali au mtoano 16 bora?
 
Sikulala eti, naanzaje kulala Shadeeya nilikua namsubiri manara atoe neno, naniiiii wakutuzuia sisi pale kwa mchina ni kaburi eti tunawazika wazima wazima

Happiness is a lifestyle
Ila mlistahili Mtani. Japo simpatii picha huyo Manara maneno za Shombo alizozimwaga huko Insta mbona leo tutakoma.
 
Acha tu niliumia nikijua furaha tutaipata kwa Mkapa mwishowe ikawa kinyume.

Ila ndio mpira huo japo hakuna kukata tamaa mpaka tone la mwisho ndio nitaamini kweli tumeukosa ubingwa.

Mimi ni mwenzio ubingwa bado tunaweza kuupata kabisa ila kwa 'kujipanga' vizuri....Timu yetu kwa sasa ipo hapo ilipo kutokana na nguvu za mtu mmoja- Zahera- ambaye ana uwezo mkubwa wa saikolojia ya wachezaji...ila hasaidiwi...ameanza kuchafuliwa na baadhi ya viongozi wa Simba kwa kumtuhumu hili la lile kwamba alijaribukuisaidia Vita...yeye ni binadamu na anaweza kukata tamaa...hakuna tamko la maana lililotoka kwa wanayanga kushutumu kauli hizi za baadhi ya viongozi wa Simba...ninavyowafahamu Simba sasa hivi wanaandaa mkakati wa kumuondoa Zahera kwa kuwatumia baadhi ya viongozi wa serikali...Simba walianza kuibomoa Yanga kwa kumuondoa Kakolanya kwa mbinu chafu kwa kumtumia wakala wake ambaye ni kiongozi wa Simba...Yanga hawakulalamika officially...suala la Kakolanya lingeweza kumweka pabaya yule wakala...lakini viongozi wa Yanga kwa kuwa hawajui mbinu chafu zinazoelekezwa kwa Yanga wamekaa tu bila kufanya chochote...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…