Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Duuh! Sikuiona hiyo Mtani.Huyo kaka yako si katia figusi figusi kabla ya mechi, eti ana jambo la kuripoti kwa CAF, kocha wa vita wanasimba tumemvamia
Happiness is a lifestyle
"Kama nakuboa usingecomment chochote"Daah. hadi unaboa kungekuwa na uwezekano wa kufilter threads zote zinazomuhusu magu ninheganya hivyo mara moja
Ama kweli kushinda kuzuri huwezi amini leo Mtani wangu King Ngwaba kanipa na kunipa like. π
Ntaota. πππππ
Mwili ulilala, lakini roho haikulala... ShadeeyaNa kweli Ujue. Hongera bana.
Vp lakini umelala kweli leo au ndio umekesha kwa furaha?
Achana na mahaba yako ya kipuuzi.Kila jambo Magufuli anahusikaje?Hivi MO alitekwa eeh na wachawi?"Kama nakuboa usingecomment chochote"
Na mie ndio nikionacho Mkuu sababu kama hii issue ya Zahera juzi wameifanya kuwa kuuubwa utadhani ni jambo la ajabu.Mimi ni mwenzio ubingwa bado tunaweza kuupata kabisa ila kwa 'kujipanga' vizuri....Timu yetu kwa sasa ipo hapo ilipo kutokana na nguvu za mtu mmoja- Zahera- ambaye ana uwezo mkubwa wa saikolojia ya wachezaji...ila hasaidiwi...ameanza kuchafuliwa na baadhi ya viongozi wa Simba kwa kumtuhumu hili la lile kwamba alijaribukuisaidia Vita...yeye ni binadamu na anaweza kukata tamaa...hakuna tamko la maana lililotoka kwa wanayanga kushutumu kauli hizi za baadhi ya viongozi wa Simba...ninavyowafahamu Simba sasa hivi wanaandaa mkakati wa kumuondoa Zahera kwa kuwatumia baadhi ya viongozi wa serikali...Simba walianza kuibomoa Yanga kwa kumuondoa Kakolanya kwa mbinu chafu kwa kumtumia wakala wake ambaye ni kiongozi wa Simba...Yanga hawakulalamika officially...suala la Kakolanya lingeweza kumweka pabaya yule wakala...lakini viongozi wa Yanga kwa kuwa hawajui mbinu chafu zinazoelekezwa kwa Yanga wamekaa tu bila kufanya chochote...
ππππππππππππππππππGoli la pili la SIMBA lililofungwa na CHAMA unalizungumziaje Mwalimu kashasha?
" Hili goli linaitwa pendulum ball insector with round bottom flask passing hii hupigwa mara chache sana Kwa mara ya mwisho ilipigwa na adolf hitler mnamo 1939 "
Hajui mpira huyo. Akiongea atasema mlifungwa tano kisha tano tena, nyie mnafunga kamoja. Hamjalipa bado mnadaiwa goli nane. Na atamalizia kwa kusema na NA HUU NDIO UKWELI NA MSEMA UKWELI NI MPENZI WA MUNGU."Kila fursa itumie vizuri"
Ndiooo. πππ[emoji23] [emoji23][emoji23]
mkuu mbona unaturudisha nyuma tulipotoka ndio makundi iliku timu 16 sasa hivi tumeingia robo timu nane..kulikua na makundi manne ya timu nne nne.. Kila kundi limetoa timu mbili,,..kundi D la simba,,..wamepita ahly ya misri na simbaAu mi ndo sielewi kaingia robo fainali au mtoano 16 bora?
Asante mtani natumaini umeona kitita kilichopo tayari kwa ajili yetuHONGERENI WATANI ZANGU KWA KUIWEKA HISTORIA NA KUFIKA QUARTER FINAL AMBAPO MNA ZAIDI YA MIAKA 15 HAMJAFIKA HUKO. JAPO NILIKUWA MKONGO JANA ILA KUWAPONGEZA MUHIMU JAMANI. π
CC. Watani zangu kina Ghazwat, Viol, Mtoto halali na hela , Sesten Zakazaka 100 Likes, Van pebles, OKW BOBAN SUNZU , King Ngwaba , Krizy Beat , BAK , Shunie , toxic9 , Arushaone , Sanchez magoli, Sapta Sapta , Komeo Lachuma, Therapist 2015 , oscarsolomon ,Proved na wengine wengi.
ππππππππ MPIRA SI UADUI.
Hahahaaa. Ila ndio hivyo mnastahili sababu hata ingekuwa sie pasingelalika sababu ni Historia imewekwa.
Sijakiona bado ndio sh ngapi za Tanzania?Asante mtani natumaini umeona kitita kilichopo tayari kwa ajili yetu