Ligi ya Klabu Bingwa Afrika: Simba SC 2 - 1 AS Club Vita | Simba yafuzu kucheza hatua ya mtoano 2019

Mashabiki hatuna shida, hivi bado mnatembeza bakuli tuwaombee hapo hata milion 100

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa. Eti hamna shida. Haya bana lakini.

Tunalitembeza ndio ila hata pesa zenu hatuzihitaji maana hapo hamjafika Semi Final tayari mmeanza kusema tunategemea mgongo wenu kuingia Klabu bingwa je mkituchangia si tutakoma na maneno zetu Mtanim
 
Ebu muache Magu atakwapua hizi pesa bure
 
Mnamuomba hela kuaina?
Yaani unaona kachelewa kutoa zile million za bure anazotembea nazo

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Hahahaaa. Eti hamna shida. Haya bana lakini.

Tunalitembeza ndio ila hata pesa zenu hatuzihitaji maana hapo hamjafika Semi Final tayari mmeanza kusema tunategemea mgongo wenu kuingia Klabu bingwa je mkituchangia si tutakoma na maneno zetu Mtanim
Hatutawasema mtani, woga wenu tu
 
Umenichekesha sana mkuu. Lakini kwa taarifa yako awamu ya tano imejaa wanasimba.

John Magufuli - Simba
Kassim Majaliwa - Simba
Tulia Acson - Simba
Dr Kigwangalla - Simba
January Makamba - Simba
Ummy Mwalimu - Simba.

Orodha inaendelea na kuendelea.
 
Na mie ndio nikionacho Mkuu sababu kama hii issue ya Zahera juzi wameifanya kuwa kuuubwa utadhani ni jambo la ajabu.

Dah! Kiukweli munatia huruma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…