Ligi ya Klabu Bingwa Afrika: Simba SC 2 - 1 AS Club Vita | Simba yafuzu kucheza hatua ya mtoano 2019


Hii ngumu sana. Labda siku mcheze wenyewe. 😎😎
 
Nawaza tu Mtani saa ile Vita wanapata goli ulikuwa na hali gani?
msema kweli mpenzi wa mungu nilizima TV nikaenda pata supu ya pweza kwa mpemba, baada ya kelele za goli la kusawazisha nikarudi gheto Ku endelea angalia kipindi cha pili
 
Maajabu ya Simba na ushindi wake

Kazifunga timu mbili kwa wakati mmoja
Yanga na Vita.

Mashabiki waliolia kwa kufungwa ni wa yanga na As Vita.

Imewafunga walimu/kocha Mwinyi zahpesa/zahera na wa As vita jina simjui.

Habari ya mujini mpaka sasa ni Simba na Yanga, Simba kuifunga vita na yanga, halafu kwa Yanga ni kufungwa na Simba Na Lipuli.

Usiombe tena ukawa shabiki wa Yanga As vita na chelsea, jamaa wiki hii yote unateseka kunako ka moyo!



wakati ukuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…