Hahaaaa. Pole sana Mtani.msema kweli mpenzi wa mungu nilizima TV nikaenda pata supu ya pweza kwa mpemba, baada ya kelele za goli la kusawazisha nikarudi gheto Ku endelea angalia kipindi cha pili
SidhaniSasa huoni kua kila siku wajipa simanzi tu? Maana Lunyasi wanaendelea kung'ara
Niko upande wa simba, ukweli ni kwamba mechi za ugenini simba ni dhaifu na anaruhusu goli nyingi, shida iko hapo
Hahah hah hah hah sijui una hali gani huko ulipo dah! Hii Simba sio ya nchi hii!Mungu ibariki AS Vita, Amen [emoji1488]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wewe ni Mkongo??Mungu ibariki AS Vita, Amen [emoji1488]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Iringa KAMWENEEE ndio habari yao hukoooo.Matokeo ya Iringa unayo?naomba
Muongo chura wa jangwani. Draw badoπ³π³Raha sana,game ya kwanza nyumbani.
Siyo Zahera huyu? Kkkkkkkkkkkkkkk
Draw ni leo wakuu,Siyo Zahera huyu? Kkkkkkkkkkkkkkk
Simba na Esperance, Yanga na Lipuli
Ngoma inaendelea muda huu mkuuDraw ni leo wakuu,
πSiyo Zahera huyu? Kkkkkkkkkkkkkkk