Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahaaaa. Pole sana Mtani.msema kweli mpenzi wa mungu nilizima TV nikaenda pata supu ya pweza kwa mpemba, baada ya kelele za goli la kusawazisha nikarudi gheto Ku endelea angalia kipindi cha pili