kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Usipande Tena sisi tunaosafiri usiku tunayahitaji sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huenda wameshawaambia Matrafiki lakini kama sote tujuavyo ile "amri" ya Raisi kuwa wapewe fedha za kurashia Viatu bado haijatenguliwa na huyu Raisi wa sasa.Ni kweli wamepakia mifugo kwani majamaa yapo tu kama panzi ndani ya Gari wanapelekeshwa tu.
Hao wamegongana juzi hapo ruvu, kumbe hii ndio michezo yao, magari matatu yaliwaka motoVideo ya miaka mitatu nyuma unaileta leo
Ndiyo Hao Hao Sauli Libaki Pale KandoHao wamegongana juzi hapo ruvu, kumbe hii ndio michezo yao, magari matatu yaliwaka moto