Tusiangalie tulipoangukia,tumejikwaa wapi?barabara zetu bado sana na hawa truck drivers ni tatizo pia,angalia pale kuanzia ubungo hadi mbezi wanaendesha upande wa kulia (fast line)wakati walitakiwa wa keep left,iam proud SAULI team,kama hupendi nenda pale CoCo beach jirushe