Fanya kama unajikuna..Tuone kama hujalia kwenye MediaHalafu nafasi ya 3 kazidiwa point 11
Hii champion league ahh kweli Rage akukosea kuwapa lile jinaHapa ndo Banza Stone anauliza kwenye jumba la starehe mwendawazimu kaingiaje!
Kwenye Champions League unaleta statistics za Ndondo?
Hii champion league ahh kweli Rage akukosea kuwapa lile jina
Mkuu huyo chura akikujibu nishtue tafadhaliInaitwaje mkuu, au umechanganywa na lugha?
Za kwenu zinafanana na wale wasipondwa na wananchi sizipendiii Mimi!!!Hii umecopy sehemu [emoji23][emoji23]
Jezi zinafanana na nguo anazovaa manyau nyau!hatari sana
Mkuu hawa[emoji196][emoji196][emoji196] wamezoea matopeni league msamehe tuInaitwaje mkuu, au umechanganywa na lugha?
Mpaka sasa nimeshahama vibanda umiza 4 mechi moja. Raha tupu
Kwahiyo?Mbabane timu ya mfalme Mswati ...na jamaa anawowa kila mwaka
Fanya kama unajikuna halafu sema hiki simba alichomfanya mbabane swallows sio cha maana halafu uone.Fanya kama unajikuna..Tuone kama hujalia kwenye Media
Utateseka sana..! Vyura nyie[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
Wanasema wekundu wa msimbazi ni wazee wa 4G toka enzi na enzi.Nyumbani 4
Ugenini 4
Tarehe 4
Juma 4
Vibanda umiza vi 4.
This is Simba.
Hakuna timu iliyotia aibu club bingwa na shirikisho kama Yanga, ilifika kipindi tukatamani muwe mnashukia somalia kukwepa aibuUamini km mikia mmecheza na wabovu!
Duh hahahahahahaHakuna timu iliyotia aibu club bingwa na shirikisho kama Yanga, ilifika kipindi tukatamani muwe mnashukia somalia kukwepa aibu
[emoji15] [emoji15] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni ngumu,