Ligi ya Mabingwa Afrika nchini eSwatin: Mbabane Swallows 0 - 4 Simba SC

Ligi ya Mabingwa Afrika nchini eSwatin: Mbabane Swallows 0 - 4 Simba SC

*NASIKIA ule wimbo wa BADO MIKOANI ulioimbwa na jirani zetu basata wameufungia*🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hapa najiuliza tu kama Hao Mbabane wanafungwa goli nne na Simba je wangekutana na Mbao Fc au Lipuli si wangenyeshewa mvua ya magoli?!
 
Tatizo lilianzia hapa ndo mana wamenyeshewa mvua ya magoli 8
IMG_20181204_231820_633.jpg
 
Back
Top Bottom