Ligi ya Mabingwa Afrika nchini eSwatin: Mbabane Swallows 0 - 4 Simba SC

Nkana watamaliza na kuzima kelele hizi zote😑😑😑
 
Nkana si beki wao wa kimataifa kesi[emoji3][emoji3] soka la tz wababaishaji wako wachache tu kama yanga,lipuli,ndanda n.k
Ningeshangaa usimtaje all time champions of Tz, na Lipuli waliokutoa kamasi taifa sema ulisahau mbao.....huyo huyo kesi atachangia kuwachomoa
 
Ningeshangaa usimtaje all time champions of Tz, na Lipuli waliokutoa kamasi taifa sema ulisahau mbao.....huyo huyo kesi atachangia kuwachomoa
Hao ndio wababaishaji nguli wa tz.. Kesi zaid zaid atacheza faulo na kusababisha penalty[emoji16][emoji16][emoji16]

Baada ya Mbabane kuogelea 8 now mmehamia nkana ngoja tuendelee kuwaabisha
 
Hao ndio wababaishaji nguli wa tz.. Kesi zaid zaid atacheza faulo na kusababisha penalty[emoji16][emoji16][emoji16]

Baada ya Mbabane kuogelea 8 now mmehamia nkana ngoja tuendelee kuwaabisha
Mbabane mmewawavizia baada ya tajiri wao kuuwawa,so wachezaji wengi wameondoka msimu huu baada ya uchumi kuyumba
 
Mkuu huyu la pili D anajua champions league ni ulaya tu hizi lugha hizi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Tumsamehe, kuogelea matopeni kunachanganya sana.
 
Reactions: Tui
Hakuna timu iliyotia aibu club bingwa na shirikisho kama Yanga, ilifika kipindi tukatamani muwe mnashukia somalia kukwepa aibu
Sana mkuu waambie maana hawakumbuki walivoliaibisha taifa na watanzania kwa ujumla.
 
Mechi mbili mabao 8 na Kocha Patrick Aussems, hajajikuna wala hajalia mbele ya Media

Alisikika mlevi mmoja hivi akizungumza[emoji23][emoji91][emoji23]
Richard Mccreesh mtoto mayai akacheze na mijitu kauzu ...mikia mmecheza na timu dhaifu sana...toka tajiri wao auliwe timu yao inakufa...nasikia toka 1979 ndio mnakuja kufunga magoli mengi ugenini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…