Your Majesty
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,242
- 5,345
[emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji16] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mbabane funga hao simba 4-0
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji16] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mbabane funga hao simba 4-0
Mkuu huyu la pili D anajua champions league ni ulaya tu hizi lugha hizi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Inaitwaje mkuu, au umechanganywa na lugha?
Hali yako vipi umevaa nepi naamini mpaka muda huuKila la kheri Mbabane.
"Mungu ibariki Afrika"
Nkana mwenyewe saiv anatetemeka kama mgonjwa wa degedege akisikia simba taarifa anazoNkana watamaliza na kuzima kelele hizi zote😡😡😡
Hamchomoki,Zambia si wababishaji kama soka la Tz wapo serious sanaNkana mwenyewe saiv anatetemeka kama mgonjwa wa degedege akisikia simba taarifa anazo
Nkana si beki wao wa kimataifa kesi[emoji3][emoji3] soka la tz wababaishaji wako wachache tu kama yanga,lipuli,ndanda n.kHamchomoki,Zambia si wababishaji kama soka la Tz wapo serious sana
Ningeshangaa usimtaje all time champions of Tz, na Lipuli waliokutoa kamasi taifa sema ulisahau mbao.....huyo huyo kesi atachangia kuwachomoaNkana si beki wao wa kimataifa kesi[emoji3][emoji3] soka la tz wababaishaji wako wachache tu kama yanga,lipuli,ndanda n.k
Hao ndio wababaishaji nguli wa tz.. Kesi zaid zaid atacheza faulo na kusababisha penalty[emoji16][emoji16][emoji16]Ningeshangaa usimtaje all time champions of Tz, na Lipuli waliokutoa kamasi taifa sema ulisahau mbao.....huyo huyo kesi atachangia kuwachomoa
Mbabane mmewawavizia baada ya tajiri wao kuuwawa,so wachezaji wengi wameondoka msimu huu baada ya uchumi kuyumbaHao ndio wababaishaji nguli wa tz.. Kesi zaid zaid atacheza faulo na kusababisha penalty[emoji16][emoji16][emoji16]
Baada ya Mbabane kuogelea 8 now mmehamia nkana ngoja tuendelee kuwaabisha
Mmeanza sababu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mbabane mmewawavizia baada ya tajiri wao kuuwawa,so wachezaji wengi wameondoka msimu huu baada ya uchumi kuyumba
😀😀sababu zinakosekana vipi mkuuMmeanza sababu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu huyu la pili D anajua champions league ni ulaya tu hizi lugha hizi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sana mkuu waambie maana hawakumbuki walivoliaibisha taifa na watanzania kwa ujumla.Hakuna timu iliyotia aibu club bingwa na shirikisho kama Yanga, ilifika kipindi tukatamani muwe mnashukia somalia kukwepa aibu
Richard Mccreesh mtoto mayai akacheze na mijitu kauzu ...mikia mmecheza na timu dhaifu sana...toka tajiri wao auliwe timu yao inakufa...nasikia toka 1979 ndio mnakuja kufunga magoli mengi ugeniniMechi mbili mabao 8 na Kocha Patrick Aussems, hajajikuna wala hajalia mbele ya Media
Alisikika mlevi mmoja hivi akizungumza[emoji23][emoji91][emoji23]
Unateseka sana mkuu relaxHapa najiuliza tu kama Hao Mbabane wanafungwa goli nne na Simba je wangekutana na Mbao Fc au Lipuli si wangenyeshewa mvua ya magoli?!
Hata mbabane ngonjera zilikuwa ni hizi hizi kunywa maji presha itakuuwaHamchomoki,Zambia si wababishaji kama soka la Tz wapo serious sana
Utakufa na roho mbaya wewe chura. Kwa ule mpira wa Mbabane wangekuwa Yanga wangechezea kokiHapa najiuliza tu kama Hao Mbabane wanafungwa goli nne na Simba je wangekutana na Mbao Fc au Lipuli si wangenyeshewa mvua ya magoli?!
😉😉😉Hata mbabane ngonjera zilikuwa ni hizi hizi kunywa maji presha itakuuwa