Ligi ya Mabingwa Afrika nchini eSwatin: Mbabane Swallows 0 - 4 Simba SC

mwana kulitaka mwana kulipewa, cleotus chota chama ni kama anacheza peke yake uwanjani

anawagawia tu
 
Kuna katimu kanajiita katimu ka wananchi huku na prison tu wanapiga watu vichwa sijui mashabiki wake hali ipoje now
 
sio live score,flashscore wala sofascore wote wababaishaji zimepita mpka muda huu wansema hakuna goli et.
 

Attachments

  • Screenshot_20181204-170843.jpeg
    44.7 KB · Views: 22
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…