papason
JF-Expert Member
- Sep 14, 2010
- 5,119
- 5,698
chama aliletwa na yanga, simba wakamdaka juu kwa juu..........Aliyemleta Chama abarikiwe [emoji847][emoji847]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
chama aliletwa na yanga, simba wakamdaka juu kwa juu..........Aliyemleta Chama abarikiwe [emoji847][emoji847]
[emoji23][emoji23][emoji23] magoli yake tu mi nashibaaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hahaaaaaa aiseeee polenichama aliletwa na yanga, simba wakamdaka juu kwa juu..........
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anichukue bure tu
Mkuu uwe unapunga upepo na boxer kabisa kama upo mayami Beach pale USA.Huyu chama atafanya niwe nashinda border ya Zambia kupunga upepo
Ngoja nimstue
Bwanaaabwanaaaaah[emoji23][emoji23][emoji23] magoli yake tu mi nashibaaa
Hawa watakuwa Yanga[emoji23][emoji23][emoji23]sio live score,flashscore wala sofascore wote wababaishaji zimepita mpka muda huu wansema hakuna goli et.View attachment 955895View attachment 955897View attachment 955898
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bwanaaabwanaaaaah
Hii ligii hawaipiij heshima kama inavostahiliisio live score,flashscore wala sofascore wote wababaishaji zimepita mpka muda huu wansema hakuna goli et.View attachment 955895View attachment 955897View attachment 955898
Wanabagua sana michezo ya Africa. Zingekua timu za ulaya hata daraja la 8 matokeo yao yanawekwa saa hio hio.sio live score,flashscore wala sofascore wote wababaishaji zimepita mpka muda huu wansema hakuna goli et.View attachment 955895View attachment 955897View attachment 955898