Ligi ya Mabingwa Afrika: Simba SC 4-1 Mbabane Swallows

Ligi ya Mabingwa Afrika: Simba SC 4-1 Mbabane Swallows

Ajabu kapigwa punda wa nyuma lakini anaelia ni punda wa mbele. Kafungwa Mbabane lakini anayelia na kuweweseka ni chura.
Anayeshuhulikiwa yupo kitandani wewe unakata kiuno dirishani ajabu.
Ndio kawaida yao hawa mkuu, kuliwa waliwe wengine maumivu wasikie wao.
 
Back
Top Bottom