libeva
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 4,465
- 3,615
Kwa simba hii mnaenda kuagaMkuu zimepatikana 4,tunaenda kumalizia sherehe pale mbabane Eswatini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa simba hii mnaenda kuagaMkuu zimepatikana 4,tunaenda kumalizia sherehe pale mbabane Eswatini.
kushinda mtashinda.je mtawatoa???Ila Yale maji aliyooga Manara kuyamwaga uwanjani sio poa
Mara paaaaaap wanaenda kupigwa 3-0mechi ya awali keleleeee..hata raundi ya kwanza bado...
Kwa simba hii mnaenda kuaga
Endeleeni kujidanganya na kujifurahisha tu.Kwa simba hii mnaenda kuaga
Ndio kawaida yao hawa mkuu, kuliwa waliwe wengine maumivu wasikie wao.Ajabu kapigwa punda wa nyuma lakini anaelia ni punda wa mbele. Kafungwa Mbabane lakini anayelia na kuweweseka ni chura.
Anayeshuhulikiwa yupo kitandani wewe unakata kiuno dirishani ajabu.
kabisaaa hats hujakoseaYanga ndio wana msiba mkubwa zaidi kuliko mbabane swallows wenyewe.
Kuna mdogo wao kafia taifa.Napita mitaa ya jangwani kupo kimya sana kwan nini nkimetokea
Sasa msiba gani huu wamezima hadi Umeme yani ni kama napita makaburiniKuna mdogo wao kafia taifa.
Ina maana hamna ata kelele za vyura wakati kuna bwawa hapo?Sasa msiba gani huu wamezima hadi Umeme yani ni kama napita makaburini
Tunawatakia ushindi mwema watani zetuView attachment 949027
Hawasikiki kabisa nadhani nao wamekufaIna maana hamna ata kelele za vyura wakati kuna bwawa hapo?