timu bovu lile,maneno tu mengi..huwa mna kelele sanaNiache
Wamekomboa mkuuHahahaa. Hivyo watakomboa Swahiba.
Mnatimu bora,timu ipi baada ya kufanyika sub ya Dilunga,kule bench kulikuwa hamna mchezaji wa kubadilisha matokeo na wale Wabrazil ni mmepigwa ,wale ni kama wauza miogo wa Coco Beach ila wao Wanauzia Copa Cabana beach Brazil.Kiukweli hata roho haiumi! Tuna timu bora sana. Simba wasifanye mabadiliko yoyote msimu ujao tunakuwa mabingwa wa Africa!
Umenikumbusha tena Haji alikuwa anaweka picha za dhihaka kabisa eti Yanga ipo Morogoro. Simba team kubwa kuwa na msemaji kama yule ni upumbavu.Kutolewa kwa Rollers na Orlando Pirates lipo la kujifunza.
Shabiki Nambamoja
Wakati Simba ikiwa imeweka kambi Afrika Kusini kujiandaa na msimu mpya, michezo yake mikubwa ya kirafiki ilikuwa dhidi ya Township Rollers na Orlando Pirates
Michezo yote walitoka sare ya bao 1-1
Ni kipindi hicho mashabiki wa Simba walikuwa wakiibeza Yanga iliyokuwa imeweka kambi mkoani Morogoro wakisema kuwa inacheza na vitimu vidogo, wao wanacheza na wakubwa wenzao
Kilichotokea sasa, Yanga iliyokuwa Morogoro, imeiondosha Rollers iliyoweka kambi Afrika Kusini mwezi mzima!
Orlando Pirates nayo imeondolewa na Green Buffalos ya Zambia kwa kuchapwa mabao 2-1
Hawa ndio wenzetu walisema ni timu kubwa walizopimana nazo huko Afrika Kusini
Kocha Mwinyi Zahera amedhihirisha kuwa mpira ni mbinu tu, mengine yote ni mbwembwe
Haijalishi umeweka kambi wapi, muhimu ni kuwa na mbinu stahili ili uweze kushinda mchezo
Pia michezo ya kirafiki wakati mwingine sio kipimo sana cha uimara wa timu
Kikubwa tuwaombee ndugu zetu wasivurugane na tumuombe Mzee Kilomoni atulie kwanza maana akileta maneno hasira zote zitahamia kwake.
kila mtu karudi nafasi yake Yanga wakimataifa , Simba wa mchangani.
timu bovu lile,maneno tu mengi..huwa mna kelele sanaNiache
Naona umechomoa kweli daahYah! Nichomoe nisichomoe? 😅😅😅😅
Simba shughuli imeisha.. anayetolewa raundi ijayo ndio atacheza playoff nafikir za kuingia makundi..yanga kama atatewa atacheza playoff kuingia makundí ya shirikisho.Mikia wanaenda kucheza shirikisho??? Naota eeehhh
Teh teh tehPoleni sana Mikia. There is always next time.
Niacheeeetimu bovu lile,maneno tu mengi..huwa mna kelele sana
Umeona eeh.....Vyovyote iwavyo tumetolewa mkuu, historia itaandika kua Simba ilitupwa nje ya CCL 2019 na UD Songo ya Msumbiji period
Ooookay siyo saiziSimba shughuli imeisha.. anayetolewa raundi ijayo ndio atacheza playoff nafikiri...
Yaani kama zile dkk za mwanzo walipakatwa aisee na wangekuwa makini wale Du Songo wangepata bao mbili za haraka haraka.Hakuna cha mpira kudunda hapo. Wamepigwa tu hawajui mpira. Wanajua taarabu hao. Pamoja na kutolewa utamsikia taarabu zinazowadanganya za manara
Nililog off kushangilia kwanzaMatokeo yakoje? Napata mimba ya mapacha sipati.
Na kwako pia Mtani.Hahaha jumapili njema mtani