Ligi ya Mabingwa Afrika | Uwanja wa Taifa, Dar: Simba SC 1-1 UD Songo. Simba yatolewa kwa faida ya goli la ugenini iliyopata UD Songo

Mkuu, sisi wengine tulishasema ukiona wabrazil ujue kuna tatizo.
Unamuachaje okwi, na kotei na hautafuti watu sahihi wa kuziba mapengo.
Leo tutalala na viatu
 
Dah! Afadhali Mwenyezi Mungu ametusaidia manake mwaka huu vile vipigo vya mbwa mwizi hawatupati ng'o!! Sisi ndo Simba bhana, CAF tulishawashitukia manina zenu ndo maana tukajifanyisha tusishinde! Yaani wametutegeshea Wamakonde makusudi ili eti tuwafunge kisha tukachabangwe hamsa hamsa; thubutu!!
 
He kipigo cha UD Songo kuirudisha Simba matopeni ?
 
Wahindi ama wabrazil? wabrazili gani wanatokea india? na nilini ulisikia akina kanjubai wanajua mpira? hapo wamekuja kumpa kampani mhindi mwenzao MO ili wapate wa kuongea nao kinyumbani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…