Ligi ya Mabingwa Afrika | Uwanja wa Taifa, Dar: Simba SC 1-1 UD Songo. Simba yatolewa kwa faida ya goli la ugenini iliyopata UD Songo

Kuna watu ni wajinga sana hasa huyu HAJI MANARA,timu imetolewa watu tumepata fedheha kubwa anakuja na umbumbumbu wake anatuambia eti Nipo tayari kuwajibika kwa matokeo haya Yeye sio Kocha,Sio mchezaji, anataka kuwajibika vipi na umbumbumbu wake,Asituvuruge.
 
Kabisa. Anaongea halafu kama msemaji kutwa kuisema team nyingine.

We are Simba...This is Simba...miaka kumi mfululizo sisi ndio tutakuwa mabingwa....back to back..IGA UFE ...hii ni level nyingine...sisi ndio timu bora tukifuatiwa na Azam..nawachukia mno gongowazi..Kambi yetu ni South Africa na siyo Morogoro ambako wachezaji kambini wanagombea chips na mihogo...tutaanza kuokota mataji kama ngao ya jamii...target yetu mwaka huu ni kufika nusu fainali kwenye michuano ya CAF..
 
Washabiki wa Simba bana! Mnatimu bora ila mjifunze mpira lolote linatokea! Mnaanza maneno mengiiiii, mara wabrazil mara Ajib! Hivi tuwe wakweli kikosi kilichopita ni sawa na hiki? Hiki kikosi ni bora ila mpira ndio ulivyo!
πŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘Š
 
Mm ni shabiki wa Simba lakini HII TEAM INATAMBWE KAMA VILE WAMESHACHUKUA CLUB BINGWA TAYAR ISEE...
GUYS MPIRA UWANJANI, MPIRA WA MDOMONI HAUFAI NDO MAANA KILA SIKU TUNAZIDI KUPOROMOKA KATIKA VIWANGO VYA FIFA...TEAM IMEJAA WACHEZAJI WA KIGENI LAKINI HAMNA LOLOTE CHA MAANA PUMBAF SANA SHUBAMITIIIII....NA BORA WAMEFUNGWA ILI WAJIULIZE WAMEKWAMA WAPI.....SIMBA HOYEEEEE!! ILA SIHAMI SIMBA HATA KIDOGO MAANA NIMEIPENDA MWENYEWE...

KAMA WE SHABIKI MWENZANGU USIPITE BILA KUGONGA LIKE HAPA!!! SIMBA MOJA SIMBA DAIMA....TUMETELEZA BADO HATUJAANGUKA!!
 
Nawasikitikia Ibrahim Ajibu na Gadiel Michael Kamagi Mbaga; wamepishana na gari la mshahara
[emoji3]🀣[emoji1][emoji28][emoji2][emoji855]

Bazazi
 
Katoa statement ya kishamba kinoma ambayo sikutarajia. Yeye badala ya kuwapa moyo washabiki nae anakuwa kama mashabiki maandazi bana. Yanga tutawatia aibu siku tukikutana, aibu ambayo hamtaisahau! 5-0!
 
Simba haina tofauti na gwambina yenye jezi nyekundu
 
Mliona mmeopoa kumbe mmejichukulia wenye magundu yao.

Haya mwanzo ndio huo bado taji la EPL nalo mtaliwacha msimu huu. πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…