Ligi ya Mabingwa Afrika | Uwanja wa Taifa, Dar: Simba SC 1-1 UD Songo. Simba yatolewa kwa faida ya goli la ugenini iliyopata UD Songo

Mnyama umetuwakilisha vyema kikubwa uhai panapo majaliwa tutakutana ligi kuu
 
Nawasikitikia Ibrahim Ajibu na Gadiel Michael Kamagi Mbaga; wamepishana na gari la mshahara
[emoji3]🤣[emoji1][emoji28][emoji2][emoji855]

Bazazi
Sidhani, wako eneo sahihi...haikuwa lengo la simba kuchukua champions ligi, bado hawajafika huko...
Vikombe vya bongo watabeba vingi tu..
 
Katoa statement ya kishamba kinoma ambayo sikutarajia. Yeye badala ya kuwapa moyo washabiki nae anakuwa kama mashabiki maandazi bana. Yanga tutawatia aibu siku tukikutana, aibu ambayo hamtaisahau! 5-0!
Eti nipo tayari kuwajibika uwanjani alikuwa anacheza namba ngapi,au kwenye Technical bench alikuwepo HAJI MANARA ni mtu wa ajabu sana.
 
Hata car champions mlisemaje na mzungu wenu?
Tulisema kuwa sisi ni mabingwa na Mbute Mbute wanalitambua hilo.
Na siku zote timu kubwa ikitolewa kwenye mashindano (Simba) basi timu ndogo zinashangilia (Vyura fc)
Simba nguvu moja
Simba bingwa 2019/2020
 
Hahaaa! Na mbumbumbu wenzie walizifurahia
 
Amepanick kinoma. Leo ndo mumejua shabiki ni shabiki tu hkujaza uwanja haisaidii. Kama timu siyo nzuri.
Katoa statement ya kishamba kinoma ambayo sikutarajia. Yeye badala ya kuwapa moyo washabiki nae anakuwa kama mashabiki maandazi bana. Yanga tutawatia aibu siku tukikutana, aibu ambayo hamtaisahau! 5-0!
 

Tayari nimegonga like...We are Simba...this is Simba...back to back...ten years tutakuwa champions
 
Hahahaa!!! Ikiwa nyie mnaojua mmetolewa haitakuwa aibu Mtani.
Kwa kweli mimi kama Simba Damu tangia babu wa mama na babangu, nashukuru kwa kweli manake tumekufa kishujaa kuliko tungejifanya ujuaji halafu tukaenda kula gwala gwala mwisho wa safari. Sisi ndio Simba bhana! Tuna pua kali za kunusa hatari iliyo mbeleni kuliko ilivyo kawaida!! Mwaka huu CAF wamtafute mwingine wa kwenda kula hamsa hamsa, lakini sio sisi shubamiti zao!!!

Kwanza tulishanusa nia ovu ya CAF ya kutaka tumpandishe pandishe ndege Kibabu chetu Kagere ili achoke mapema wakatu keshajichokeail!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…