Ligi ya Mabingwa Afrika | Uwanja wa Taifa, Dar: Simba SC 1-1 UD Songo. Simba yatolewa kwa faida ya goli la ugenini iliyopata UD Songo

Ooh Tutachukua Champions league mara tutafika nusu. Kiko wapi. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Wakafe mbele hao mikiaaa.... wana mdomo chafu sanaaaa.... na shirikisho hakuna wanarudi topeni ndio kwao..πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Kilichoiponza simba ni

1) kuwadharau wapinzani wetu(kuingia na matokeo mfukoni)

2)kuwaacha baadhi ya wachezaji mhimu wa msimu uliopita(ambao tayari walikua wametengeneza chemistry nzuri)

watu kama James kotei, Emanuel okwi hatukupaswa kuwaacha bila sababu za msingi na badala yake tukachukua wachezaji wengi wapya

Kitu ambacho kitatuchukua mda mrefu kupata chemistry Kama ya msimu ulioisha

NB: kwenye mashindano, kutolewa si kitu cha ajabu, wanatolewa Man City na PSG pamoja na kwamba wamewekeza Pesa nyingi, simba ni nani bhana

Naamini hili ni somo, japo kwakweli litakua gumu sana kwetu.
 
Yaani ama kweli Mungu sio Dismass Kumi! Yaani tumechangia mi-point mingi msimu uliopita ili kuwapa nafasi hawa wazoefu wa kupanda ndege kushiriki lakini leo hii wanatukejeli!
 
Asante sana mikia kwa kushiriki. Kwani malengo yenu msimu huu yakikua yapi
 
Ni wakati mgumu sana kwetu mashabiki wa Simba kwa matokeo haya, viongozi mjipange yasijeyakaleta matokeo mabaya ligi kuu, tujifunze na kuwa na mikakati yakiushindani haswa kwenye sajili.
 
Tumeumia sana
 
Hamna kitu, kikosi cha sasa ni bora zaidi! Tuache maneno mingi ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…