Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
πππππSasa mkajaze vyoo sio viwanja tena[emoji3][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
πππππSasa mkajaze vyoo sio viwanja tena[emoji3][emoji3]
Ooh Tutachukua Champions league mara tutafika nusu. Kiko wapi. ππππππ
Yaani acha tu rafiki. Japo leo wako wadogo kama sio wale wapiga kelele.Wakafe mbele hao mikiaaa.... wana mdomo chafu sanaaaa.... na shirikisho hakuna wanarudi topeni ndio kwao..ππππ
Simba nguvu mojaMliona mmeopoa kumbe mmejichukulia wenye magundu yao.
Haya mwanzo ndio huo bado taji la EPL nalo mtaliwacha msimu huu. π π π
Kwa kweli Ajibu ana gundu
Usimsahau bashite!
Tumeumia sanaKilichoiponza simba ni
1) kuwadharau wapinzani wetu(kuingia na matokeo mfukoni)
2)kuwaacha baadhi ya wachezaji mhimu wa msimu uliopita(ambao tayari walikua wametengeneza chemistry nzuri)
watu kama James kotei, Emanuel okwi hatukupaswa kuwaacha bila sababu za msingi na badala yake tukachukua wachezaji wengi wapya
Kitu ambacho kitatuchukua mda mrefu kupata chemistry Kama ya msimu ulioisha
NB: kwenye mashindano, kutolewa si kitu cha ajabu, wanatolewa Man City na PSG pamoja na kwamba wamewekeza Pesa nyingi, simba ni nani bhana
Naamini hili ni somo, japo kwakweli litakua gumu sana kwetu.
Mlikuwa mnachonga sna haya wananchi waleeeeePoa! Tunawatakia nyie wasafiri mliobaki safari njema! Ila leo aisee [emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]
Ofcourse ...Alafu fairness na Yanga sijui utaifa hatuutaki tena! Yanga mtakoma mamamaee ....Simba nguvu moja
Simba bingwa 2019/2020
Kuna kagera mkuu, huku kuwa na matokeo sio kuzuri...tujifunze somo la leo..na lituingie..Simba nguvu moja
Simba bingwa 2019/2020
The best team [emoji123]This is SIMBA[emoji881]
Yaani acha tu rafiki. Japo leo wako wadogo kama sio wale wapiga kelele.
Yaaani leo na jana nimefurahi sanaNaongezea Swahiba wanatakiwa wajue sio kila siku ni jumapili. [emoji3][emoji3][emoji3]
Hamna kitu, kikosi cha sasa ni bora zaidi! Tuache maneno mingi ...Kilichoiponza simba ni