Ligi ya Mabingwa Afrika | Uwanja wa Taifa, Dar: Simba SC 1-1 UD Songo. Simba yatolewa kwa faida ya goli la ugenini iliyopata UD Songo

Manala tulia dawa ikuingie
 
Mji umepoa sana ni timu ya wananchi tu inatamba,kwa sasa turudi kwenye mada ya ndege kwa Mwenye uelewa kuhusu kukamatwa kwa ndege yetu Kwani yule mkula alivyotuambia kuwa kwa sasa ni yechu yechu kwenye suala la bizinesi ndo katugeuka kisoro namna hiyo?
 
Hakika matokeo yametoka Simba hao bye bye Yanga Viti Maalumu wanapambana.
 
CAF ilituma 'wavaa miwani myeusi', wangejichanganya....wangefungiwa maisha.
🙍🏿‍♂️🙍🏿‍♂️🙍🏿‍♂️🙍🏿‍♂️🙍🏿‍♂️😂😂😂😂😂
 
Ndege imezamia south

South kutamu sana mzee

Haitaki hata kurudi
 
Nichukue nafasi hii kuwapa pole sana wana Simba kwa matokeo ya leo. Kutolewa katika hatua ya mwanzo kabisa inahuzunisha lakini mpira ni dakika tisini. Pamoja na uwekezaji mkubwa msimu huu bado mambo hayakuwa kama ilivyotarajiwa. Sasa nguvu zote zielekeze kwa timu za Namungo, Ndanda, Singida etc. Pole sana Haji Manara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…