Ligi ya Mabingwa Afrika | Uwanja wa Taifa, Dar: Simba SC 1-1 UD Songo. Simba yatolewa kwa faida ya goli la ugenini iliyopata UD Songo

Ligi ya Mabingwa Afrika | Uwanja wa Taifa, Dar: Simba SC 1-1 UD Songo. Simba yatolewa kwa faida ya goli la ugenini iliyopata UD Songo

We are Simba...This is Simba...miaka kumi mfululizo sisi ndio tutakuwa mabingwa....back to back..IGA UFE ...hii ni level nyingine...sisi ndio timu bora tukifuatiwa na Azam..nawachukia mno gongowazi..Kambi yetu ni South Africa na siyo Morogoro ambako wachezaji kambini wanagombea chips na mihogo...tutaanza kuokota mataji kama ngao ya jamii...target yetu mwaka huu ni kufika nusu fainali kwenye michuano ya CAF..
Manala tulia dawa ikuingie
 
Mji umepoa sana ni timu ya wananchi tu inatamba,kwa sasa turudi kwenye mada ya ndege kwa Mwenye uelewa kuhusu kukamatwa kwa ndege yetu Kwani yule mkula alivyotuambia kuwa kwa sasa ni yechu yechu kwenye suala la bizinesi ndo katugeuka kisoro namna hiyo?
 
Hakika matokeo yametoka Simba hao bye bye Yanga Viti Maalumu wanapambana.
 
Mji umepoa sana ni timu ya wananchi tu inatamba,kwa sasa turudi kwenye mada ya ndege kwa Mwenye uelewa kuhusu kukamatwa kwa ndege yetu Kwani yule mkula alivyotuambia kuwa kwa sasa ni yechu yechu kwenye suala la bizinesi ndo katugeuka kisoro namna hiyo?
Ndege imezamia south

South kutamu sana mzee

Haitaki hata kurudi
 
Nichukue nafasi hii kuwapa pole sana wana Simba kwa matokeo ya leo. Kutolewa katika hatua ya mwanzo kabisa inahuzunisha lakini mpira ni dakika tisini. Pamoja na uwekezaji mkubwa msimu huu bado mambo hayakuwa kama ilivyotarajiwa. Sasa nguvu zote zielekeze kwa timu za Namungo, Ndanda, Singida etc. Pole sana Haji Manara.
 
Back
Top Bottom