Tuko apaaa simba nguvu moja [emoji91][emoji91][emoji91]Sesten Zakazaka OKW BOBAN SUNZU Sanchez magoli Sapta Sapta Ghazwat sembo Shunie joanah aminas Khaligraph Jordan mko wapi hivi.
Au ndio mko Uwanjani wenzetu.
Tumeshafunga ujueLeo wanapita kimya kimya eti!!!!!
Goli likifungwa ndio watakuja na povu la jumla jumla. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
ππππLikishaingia la pili mniambie wakuu....wakati wengine wakiumia binafsi nitakua nishatengeneza pesa...
Wanadai Taifa ni kaburini eti.
Haya wamzike Du Songo leo tuone. Hahahaahahaaaaa.
Itabidi ale majani maana nyama imekuwa adimuMnyama amelowa chapa chapa! Haamini kama amekosa chakula mpaka sasa! Amefanyiwa suprise ambayo hakuitarajia. Haka katimu kamekuja huku kakiwa kamechomoa kabisa betri.
Ni kushambulia mwanzo mwisho, maana hawana cha kupoteza. Mbaya zaidi sare yoyote ile ya magoli, inawabeba wageni. π£ Simba mkuje huku, jahazi linazama.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nimesikiliza vizuri tu nilitaka tu kukuona bwana mm nitarudi baadae nipo busy busy kidogo nisingetokea apa ungeendelea na kelele zakoHujasikiliza vizuri Dada.
Tukisema wanadai sisi sio watu wa mpira. Leo sio siri wana mlima mrefu Simba.Mnyama amelowa chapa chapa! Haamini kama amekosa chakula mpaka sasa! Amefanyiwa suprise ambayo hakuitarajia. Haka katimu kamekuja huku kakiwa kamechomoa kabisa betri.
Ni kushambulia mwanzo mwisho, maana hawana cha kupoteza. Mbaya zaidi sare yoyote ile ya magoli, inawabeba wageni.
Waje jamaani mana makoo yanatukauka tu hapa. ππππππ£ Simba mkuje huku, jahazi linazama.
Nawahesabu Dada we wa pili. Wa kwanza Kaka Mshuza2 kasema naye yuko busy. πππππ[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nimesikiliza vizuri tu nilitaka tu kukuona bwana mm nitarudi baadae nipo busy busy kidogo nisingetokea apa ungeendelea na kelele zako
Hujasikiliza vizuri Dada.
kwaiyo unatakaje kama inashambuliwa?Simba inashambuliwa
Hapana Pacha mi niko kwa Wananchi nipo kuwatania hapa. πππPacha upo Simba?