Ligi ya mabingwa wa draft Tanzania aliyoibuka bingwa dogo sisco

hamis77

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
13,628
Reaction score
20,992
Habari zenu humu ,wale wapenzi wa DRAFT ,ilifanyika ligi ya MABINGWA wa draft unaowajua wewe hapa TZ ,pale Java Lounge

Bingwa aliibuka dogo SISCO

Mashindano yalianza na hatua za makundi

Katika ligi ya kufungua mwaka wa 2025 waratibu wamewathibitisha washiriki 48 watakaowania kuondoka na kitita cha shiringi milioni moja,

HAYA NDIO MAKUNDI
👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻

GROUP A
Issa mamba
Dogo athumani
Master monsta
Mtapa
Kimune
Rilo

GROUP B
Dogo ally
Amanisiri
Dogo jafari
Heriman
Ambundo
Christopher

GROUP C
Simba wa dodoma
Ally white
John kipaji
Saidi maziwa
Makofia
Dogo hamisi

GROUP D
Noeli namaloe (bingwa wa tz)
Iwobi
Geoerge mchunguzi
Dogo fahimu
Montolivo
Tindi kali

GROUP E
Omary kiwembe
Master mjape
Messi
Bingwa wa majohe
Kiduku
Mkubwa beka

GROUP F
Dogo shukuru
Dogo janja
Hemedi gaidi
Master chaula
Cortinyo
General mboma

GROUP G
Nduli
Saiya
Mzee ngapu
Serenge kete
Dogo haji
Kingo

GROUP H
Dogo sisco
Dogo paulo
Mayai
Changu changu
Mjomba shiza
Star dinyo

Katika kila Group watapita wachezaji wawili ili kupata 16 bora Ikumbukwe bingwa wa ligi hiyo kuondoka na shilingi MILIONI MOJA


Maelezo mengine utayapata kwenye Comment
 
LIGI INAENDEREA NDANI YA JAVA SASA NI HATUA YA ROBO FAINALI

SAIYA VS DOGO SHUKURU

MZEE NGAPU VS HEMEDI GAIDI

NOELI VS OMARY KIWEMBE

DOGO SISCO VS MJAPE

NUSU FAINAL

SISCO VS SAIYA

NGAPU VS KIWEMBE

FAINAL

SISCO VS NGAPU

Asanteni. 🔥🔥💪🏻
 
Draft sometimes unaweza jifua ukadhani kama wewe ndo mbabe hivi, siku moja unakuja kula kichapo Hadi unatamani kulia...sijajua Chess Kwa bongo ina hatua gani!.
Chess kwa bongo Haina wadau aisee
 
Ila majina ya wacheza draft[emoji23][emoji23] huu mchezo yale maneno yake tu daaah[emoji1][emoji1]
Umeniwahi asee,,nilitaka Nikomenti Hili La Majina Mengi Ya Wacheza Drafti Yanafurahisha Kuyasikia Kwenye Vijiwe Vyao Vyote Sehemu Mbalimbali Kama Maneno Yao Wakiwa Wanacheza
 
Mchezaji pekee ambae angeweza kumzuia DOGO SISQO kuwa bingwa ni huyu tu mnyama CR7 field marshall

Lakin hao wengine watapigika vizur tu hakuna anamuweza DOGO SISQO ispokuw CR7 pekee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…