Ligi ya mabingwa wa draft Tanzania aliyoibuka bingwa dogo sisco

Ligi ya mabingwa wa draft Tanzania aliyoibuka bingwa dogo sisco

Bigwa hakuingia robo fainal how? Jina lake halipo hapo.
Ifahamike kua hili ni kombe lingine lingine linafanyika huko MAKUBULI Bingwa kuondoka na LAKI TATU asanteni.

ROBO FAINALI,

DOGO SHUKURU vs SAIYA

ISSA MAMBA vs NOELI

DOGO PAUL vs DOGO JANJA

DOGO ALLY vs GAIDI
 
NUSU FAINAL ILIKUWA HIVI

SISCO vs SAIYA

MZEE NGAPU vs OMARY KIWEMBE,

asanteni
 
HATUA YA ROBO FAINALI

SAIYA VS DOGO SHUKURU

MZEE NGAPU VS HEMEDI GAIDI

NOELI VS OMARY KIWEMBE

DOGO SISCO VS MJAPE

Asanteni. 🔥🔥💪🏻
 
TULIKUWA NA LIGI NDOGO YA DRAFT MABIBO

BINGWA ALIIBUKA PIA DOGO SISCO

Katika kiwanja cha MABIBO Kutakua na ligi ya mchezo wa drafti, kiasi cha pesa kilichowekwa na mzamini wetu ni shiringi laki mbili mgawanyiko wa zawadi ni kama ifuatavyo

Nafasi ya kwanza SH. 10,0000
Nafasi ya pili SH. 50000
Nafasi ya tatu SH. 30000
Nfasi ya nne SH. 20000

Idadi ya washiriki watakaoshiriki ni 32 Ligi itaanza saa 4 kamili asubuhi, shukrani nyingi ziende kwa mzamini wetu PASTOR ALEX aliyejitolea pesa zake ili kufanikisha ligi hii
 
WADAU CHUKUENI HII,
👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻
Katika ligi iliyofanyika MABIBO Hawa ndio washiriki wetu na sehemu wanazotokea,

1_ SAIDI MAZIWA # Mabibo ✔
2_ JOHNI KIPAJI # Mabibo ✔
3_ MAKOFIA # Mabibo ✔
4_ MBARUKU # Mabibo ✔
5_ KIDANGA # Mabibo ✔
6_ KEJOCHI # Msilima ✔
7_ MAGAWA # Morogolo ✔
8_ HERMAN # Mbezi ✔
9_ KOCHO # Kimara ✔
10_ MTEMI # Kitunda ✔
11_ JAFARI # Kimara ✔
12_ MAYAI # Manyanya✔
13_DOGO ALLY # Manyanya✔
14_ FAHIMU # Manyanya✔
15_ KIDUKU # Manyanya✔
16_ KOUTINHO # Manyanya✔
17_ PAULO # Goba ✔
18_ TEDDY # Kimara✔
19_ BUNNY # Chuo kikuu✔
20_ SHUKU # Kizuiani✔
21 _ DOGO JANJA # Zanzibar✔
22_ DOGO SISCO # Watu huru✔
23_ GUMBO # Morogolo ✔
24_ PACHA # Tanga ✔
25_ JIMY #Yombo arena✔
26_ ALY WHITE # Yombo arena✔
27_ HAMISI # Yombo arena✔
28_ MZEE NGAPU # Popo bawa✔
29_ MJAPE # Kizuiani✔
30_ NDULI # Manyanya✔
31_ CHANGU # Manzese✔
32_ GAIDI # Manzese✔
 
FAINAL WALIINGIA

DOGO SHUKURU VS DOGO SISCO

SHUKURU AKATANGULIA KUPATA GOLI MOJA, SISCO AKAFANYA COMEBACK NA KUSHINDA 2-1 KATIKA MICHEZO 24


SISCO AKAWA BINGWA WA LIGI NDOGO MABIBO NA KUBEBA 80,000
 
A
Umeniwahi asee,,nilitaka Nikomenti Hili La Majina Mengi Ya Wacheza Drafti Yanafurahisha Kuyasikia Kwenye Vijiwe Vyao Vyote Sehemu Mbalimbali Kama Maneno Yao Wakiwa Wanacheza
Acha tu mzee, mchezo wa wa waswahili huo, kama haujui kuongea kaa mbali nao😄😄😄
 
KUMBUKIZI 2022, HII NDIO MECHI YA MWISHO KATI YA SISCO NA RONALDO ,KUANZIA HAPO RONALDO ANAINGILIA HUKU ANATOKEA HUKU

Wanamuita DOGO SISCO Jana(ilikuwa 2022) amekabidhiwa kiasi cha shiringi laki tatu baada ya kumpiga mpinzani wake ronaldo katika mchezo wa drafti ronaldo alikubali kipigo cha goli tano kwa moja katika michezo 14 waliyopangiwa kucheza dogo sisco amekua msumbufu sana kwa sasa, pichani ni bingwa wa zamani anaejulikana kwa jina maalufu MANGWELELE akimkabidhi zawadi mshindi wetu dogo sisco amekua tishio kwa sasa.


FB_IMG_1737988177082.jpg
 
WADAU CHUKUENI HII,
👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻
Katika ligi iliyofanyika MABIBO Hawa ndio washiriki wetu na sehemu wanazotokea,

1_ SAIDI MAZIWA # Mabibo ✔
2_ JOHNI KIPAJI # Mabibo ✔
3_ MAKOFIA # Mabibo ✔
4_ MBARUKU # Mabibo ✔
5_ KIDANGA # Mabibo ✔
6_ KEJOCHI # Msilima ✔
7_ MAGAWA # Morogolo ✔
8_ HERMAN # Mbezi ✔
9_ KOCHO # Kimara ✔
10_ MTEMI # Kitunda ✔
11_ JAFARI # Kimara ✔
12_ MAYAI # Manyanya✔
13_DOGO ALLY # Manyanya✔
14_ FAHIMU # Manyanya✔
15_ KIDUKU # Manyanya✔
16_ KOUTINHO # Manyanya✔
17_ PAULO # Goba ✔
18_ TEDDY # Kimara✔
19_ BUNNY # Chuo kikuu✔
20_ SHUKU # Kizuiani✔
21 _ DOGO JANJA # Zanzibar✔
22_ DOGO SISCO # Watu huru✔
23_ GUMBO # Morogolo ✔
24_ PACHA # Tanga ✔
25_ JIMY #Yombo arena✔
26_ ALY WHITE # Yombo arena✔
27_ HAMISI # Yombo arena✔
28_ MZEE NGAPU # Popo bawa✔
29_ MJAPE # Kizuiani✔
30_ NDULI # Manyanya✔
31_ CHANGU # Manzese✔
32_ GAIDI # Manzese✔
Haya majina na maeneo yanatisha.

Eti mtu anatokea "popo bawa" au "watu huru"
 
Back
Top Bottom