Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Nawapa moyo vijana, ila kifupi wote wako chamani.Udhalilisha chama! Mh Rais wa majobless promax wapate hela na umaarufu ili Chama kife? Au umelamba asali š¤£
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawapa moyo vijana, ila kifupi wote wako chamani.Udhalilisha chama! Mh Rais wa majobless promax wapate hela na umaarufu ili Chama kife? Au umelamba asali š¤£
Kati yako wewe na bingwa atakayeshinda aje tupambane online.Nitamsubiri bingwa nichuane nae
Yule mkulima wa online walimshindwa?
That's my game, karibu kama uko vizuri pande hizo.natamani tutoe vijana wanao jua kucheza chess, maana Kuna hela na umaarufu nzuri huko.
Huyu dogo wa Manyanya ni hatari sana aisee...Bingwa ni Sisco
Nje ya mada.. Hivi hayajapewa jina la mama kweli!?Habari zenu humu ,wale wapenzi wa DRAFT ,ilifanyika ligi ya MABINGWA wa draft unaowajua wewe hapa TZ ,pale Java Lounge
Bingwa aliibuka dogo SISCO
Mashindano yalianza na hatua za makundi
Katika ligi ya kufungua mwaka wa 2025 waratibu wamewathibitisha washiriki 48 watakaowania kuondoka na kitita cha shiringi milioni moja,
HAYA NDIO MAKUNDI
šš»šš»šš»šš»šš»šš»
GROUP A
Issa mamba
Dogo athumani
Master monsta
Mtapa
Kimune
Rilo
GROUP B
Dogo ally
Amanisiri
Dogo jafari
Heriman
Ambundo
Christopher
GROUP C
Simba wa dodoma
Ally white
John kipaji
Saidi maziwa
Makofia
Dogo hamisi
GROUP D
Noeli namaloe (bingwa wa tz)
Iwobi
Geoerge mchunguzi
Dogo fahimu
Montolivo
Tindi kali
GROUP E
Omary kiwembe
Master mjape
Messi
Bingwa wa majohe
Kiduku
Mkubwa beka
GROUP F
Dogo shukuru
Dogo janja
Hemedi gaidi
Master chaula
Cortinyo
General mboma
GROUP G
Nduli
Saiya
Mzee ngapu
Serenge kete
Dogo haji
Kingo
GROUP H
Dogo sisco
Dogo paulo
Mayai
Changu changu
Mjomba shiza
Star dinyo
Katika kila Group watapita wachezaji wawili ili kupata 16 bora Ikumbukwe bingwa wa ligi hiyo kuondoka na shiringi MILIONI MOJA
Maelezo mengine utayapata kwenye Comment
Msomali atapigwa mzee... chuo cha draft Tanzania ni Manyanya mkuu..Huyu Dogo Sisco ni fundi kweli kweli ila nasubiri sana game yake na Msomali wa Arusha au Ronaldo na Msomali
Hapo kipute kitqpigwa
Sumbawanga na kuliko cha mipunga mkuu kule draft hakuna aisee...Mafundi wa draft Tz kila mkoa wanajulikana
Huko mafundi ni kina nani
Fainal ya SISCO na Mzee Ngapu
Sisco aliibuka na ushindi wa mabao 2-1
View: https://youtu.be/9EAYONU7_l8?si=nwYq0uw7oReyzxGK
Kumbe Rooney(Haruni) ni kitoko tu hayupo kundi lolote lileHabari zenu humu ,wale wapenzi wa DRAFT ,ilifanyika ligi ya MABINGWA wa draft unaowajua wewe hapa TZ ,pale Java Lounge
Bingwa aliibuka dogo SISCO
Mashindano yalianza na hatua za makundi
Katika ligi ya kufungua mwaka wa 2025 waratibu wamewathibitisha washiriki 48 watakaowania kuondoka na kitita cha shiringi milioni moja,
HAYA NDIO MAKUNDI
šš»šš»šš»šš»šš»šš»
GROUP A
Issa mamba
Dogo athumani
Master monsta
Mtapa
Kimune
Rilo
GROUP B
Dogo ally
Amanisiri
Dogo jafari
Heriman
Ambundo
Christopher
GROUP C
Simba wa dodoma
Ally white
John kipaji
Saidi maziwa
Makofia
Dogo hamisi
GROUP D
Noeli namaloe (bingwa wa tz)
Iwobi
Geoerge mchunguzi
Dogo fahimu
Montolivo
Tindi kali
GROUP E
Omary kiwembe
Master mjape
Messi
Bingwa wa majohe
Kiduku
Mkubwa beka
GROUP F
Dogo shukuru
Dogo janja
Hemedi gaidi
Master chaula
Cortinyo
General mboma
GROUP G
Nduli
Saiya
Mzee ngapu
Serenge kete
Dogo haji
Kingo
GROUP H
Dogo sisco
Dogo paulo
Mayai
Changu changu
Mjomba shiza
Star dinyo
Katika kila Group watapita wachezaji wawili ili kupata 16 bora Ikumbukwe bingwa wa ligi hiyo kuondoka na shiringi MILIONI MOJA
Maelezo mengine utayapata kwenye Comment
Hivi una uhakika na unachokiongea somo? Huyo dogo hafai š¤£Huyo dogo Sisco nakumbuka kwenye ligi za ndani nimewahi kumtoa knock out,imekuaje ameweza kuwazuia wakongwe wa huo mchezo?
YesChuga anakuja mara kwa mara