Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anapatikana wapi huyo aje akutane na mimi genius of all the time😁😁😁
Kongole kwake DOGO SISCOkuondoka na shiringi MILIONI MOJA
Mafundi wa draft Tz kila mkoa wanajulikana
Huko mafundi ni kina nani
Waambie waje dar watest kama wapo vzr
Wiki ilopita dogo sisco aliuliwa na Saiya.Mchezaji pekee ambae angeweza kumzuia DOGO SISQO kuwa bingwa ni huyu tu mnyama CR7 field marshall
Lakin hao wengine watapigika vizur tu hakuna anamuweza DOGO SISQO ispokuw CR7 pekee
View attachment 3215486
Kama CR7 anamkwepa Sisco why hapo juu ulisema mtu wa kumzuia Sisco angekuwa CR7? Wakati CR7 ameshasanda mapema.Mechi yake na Ronaldo, Ronaldo analeta vipwngere
Hata java Ronaldo alipojua Sisco yupo hakushiriki
Msomali hamuwezi sisco
Mnazijua kete mbili tu zinazo itwa gafu strem two on two siri ya draft lote la juu kabisa lipo hapo.. ni genius tu anayeweza kujua hii siri..Ikumbukwe tu Ronaldo alimkimbia dogo sisco baada ya sisco kutua Dodoma kwa ziara yake mkoani humo..
Cr7 aligomea mechi hiyo ingawa zawadi ilifika milioni mbili na laki saba..cr7 alitaka dau liwe milioni 8
🤣🤣🤣🤣🤣Huyo sisko hamna kitu aje Sumbawanga kijiwe cha Majumbasita kuna mafundi Hatari kete mbili draft kwisha
Niamini mimi ni mbaya haswa nilicheza draft miaka mingi tena mara chache tu ...siku hizi nikicheza ni siku moja kwa miaka 3...hivyo ninakutaga wabishi midomoni kama wewe lakini uanza kutetemeka hata kabla sijaanza kucheza na baada ya muda mchache wanaanza kunishobokea shombo yote inakwisha😂😂😂Mzee utapigwa goli zote,utaambiwa zuia Sare katika michezo 24 ,zuia Sare 10 tu,
Hao jamaa wamemaliza vyumba vyote
Mchezaji pekee ambae angeweza kumzuia DOGO SISQO kuwa bingwa ni huyu tu mnyama CR7 field marshall
Lakin hao wengine watapigika vizur tu hakuna anamuweza DOGO SISQO ispokuw CR7 pekee
View attachment 3215486
Udhalilisha chama! Mh Rais wa majobless promax wapate hela na umaarufu ili Chama kife? Au umelamba asali 🤣natamani tutoe vijana wanao jua kucheza chess, maana Kuna hela na umaarufu nzuri huko.