MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 4,071
- 10,028
Sijaona wakunifunga apo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Dogo Sisco ni fundi kweli kweli ila nasubiri sana game yake na Msomali wa Arusha au Ronaldo na Msomali
Msomali wa Chuga unamjua? Alishatoa droo 3 na huyuMchezaji pekee ambae angeweza kumzuia DOGO SISQO kuwa bingwa ni huyu tu mnyama CR7 field marshall
Lakin hao wengine watapigika vizur tu hakuna anamuweza DOGO SISQO ispokuw CR7 pekee
View attachment 3215486
Huyu Athumani ni yule wa maeneo ya Kimara na Mbezi?Habari zenu humu ,wale wapenzi wa DRAFT ,ilifanyika ligi ya MABINGWA wa draft unaowajua wewe hapa TZ ,pale Java Lounge
Bingwa aliibuka dogo SISCO
Mashindano yalianza na hatua za makundi
Katika ligi ya kufungua mwaka wa 2025 waratibu wamewathibitisha washiriki 48 watakaowania kuondoka na kitita cha shiringi milioni moja,
HAYA NDIO MAKUNDI
👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻
GROUP A
Issa mamba
Dogo athumani
Master monsta
Mtapa
Kimune
Rilo
GROUP B
Dogo ally
Amanisiri
Dogo jafari
Heriman
Ambundo
Christopher
GROUP C
Simba wa dodoma
Ally white
John kipaji
Saidi maziwa
Makofia
Dogo hamisi
GROUP D
Noeli namaloe (bingwa wa tz)
Iwobi
Geoerge mchunguzi
Dogo fahimu
Montolivo
Tindi kali
GROUP E
Omary kiwembe
Master mjape
Messi
Bingwa wa majohe
Kiduku
Mkubwa beka
GROUP F
Dogo shukuru
Dogo janja
Hemedi gaidi
Master chaula
Cortinyo
General mboma
GROUP G
Nduli
Saiya
Mzee ngapu
Serenge kete
Dogo haji
Kingo
GROUP H
Dogo sisco
Dogo paulo
Mayai
Changu changu
Mjomba shiza
Star dinyo
Katika kila Group watapita wachezaji wawili ili kupata 16 bora Ikumbukwe bingwa wa ligi hiyo kuondoka na shiringi MILIONI MOJA
Maelezo mengine utayapata kwenye Comment
Muongo huyo ,hao wanasumbua matula tu, wakiwa kwa vijiwe vyao wanatamba ,Sisco anawapigaga Hadi 10-0Kuna mwamba anasumbua sana Mabibo hostel. Cha kushangaza kwenye mashindano katolewa hatua ya makundi tu.
Anadai alirogwa akawa haoni njia za kupitisha kete. Watu wamecheka sana
Mechi yake na Ronaldo, Ronaldo analeta vipwngereHuyu Dogo Sisco ni fundi kweli kweli ila nasubiri sana game yake na Msomali wa Arusha au Ronaldo na Msomali
Hapo kipute kitqpigwa
Siku nikipata muda ntatia timu, muda mwingi nipo kariakooUnatokea wapi kaka tukualike michezo 24 ,goli 24
Sasa ni Sisco vipi wakati hata kwenye robo fainal hayupo?Bingwa ni Sisco
Huko mkoani Kuna bingwa gan hajapitiwa na Sisco, nazungumzia MABINGWA sio matula
Nilirekebisha ,hilo lilikuwa kombe lingine linafanyika makuburiSasa ni Sisco vipi wakati hata kwenye robo fainal hayupo?
Halafu nao wadhamini gani mshindi milioni 1 tu? Iwage kuanzia milioni 5 mpaka 10. Mchezo unaumiza kichwa huo. Unaweza ukazimia hapo hapo ukiwaza kete kali..
Waandaji waingie front kusaka wadhamini wazito. kampuni kama za bia au Coca, Pepsi hawawezi kukataa kudhamini hata kwa milioni 20 mwanzo mpaka siku ya mwisho