Ligi ya mabingwa wa draft Tanzania aliyoibuka bingwa dogo sisco

Ligi ya mabingwa wa draft Tanzania aliyoibuka bingwa dogo sisco

Jamaa mmoja anakujaga huku upareni anasema anakuaga na kina Cisco,anajua jua draft kwani hakunaga anayeweza kumfunga akicheza draft
Atakuwa anajua jua,maana ukikaa na hao kina Sisco ,wanaweza kukupa kopi 3 tu ukaenda nazo sehemu utawapiga had wakuogope
 
Atakuwa anajua jua,maana ukikaa na hao kina Sisco ,wanaweza kukupa kopi 3 tu ukaenda nazo sehemu utawapiga had wakuogope
Hahaaaaa,ni kweli tena huwa sometimes anawaachia wamfunge anawatamanisha wamuone wa kawaida,halafu baadae anawaambia wacheze la hela,hapo ndipo anapowagonga sasa
 
Nitamsubiri bingwa nichuane nae

Yule mkulima wa online walimshindwa?
Unaambiwa alikuwa anacheza na kijiji cha Manyanya matulatula wote wenye majina makubwa na akawa anawatoboa!
 
Back
Top Bottom