steveachi JF-Expert Member Joined Nov 7, 2011 Posts 10,643 Reaction score 12,247 Jan 28, 2025 #101 hamis77 said: Anatokea wapi huyu jamaa Click to expand... Jamaa mmoja anakujaga huku upareni anasema anakuaga na kina Cisco,anajua jua draft kwani hakunaga anayeweza kumfunga akicheza draft
hamis77 said: Anatokea wapi huyu jamaa Click to expand... Jamaa mmoja anakujaga huku upareni anasema anakuaga na kina Cisco,anajua jua draft kwani hakunaga anayeweza kumfunga akicheza draft
hamis77 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 13,628 Reaction score 20,992 Jan 28, 2025 Thread starter #102 steveachi said: Jamaa mmoja anakujaga huku upareni anasema anakuaga na kina Cisco,anajua jua draft kwani hakunaga anayeweza kumfunga akicheza draft Click to expand... Atakuwa anajua jua,maana ukikaa na hao kina Sisco ,wanaweza kukupa kopi 3 tu ukaenda nazo sehemu utawapiga had wakuogope
steveachi said: Jamaa mmoja anakujaga huku upareni anasema anakuaga na kina Cisco,anajua jua draft kwani hakunaga anayeweza kumfunga akicheza draft Click to expand... Atakuwa anajua jua,maana ukikaa na hao kina Sisco ,wanaweza kukupa kopi 3 tu ukaenda nazo sehemu utawapiga had wakuogope
steveachi JF-Expert Member Joined Nov 7, 2011 Posts 10,643 Reaction score 12,247 Jan 28, 2025 #103 hamis77 said: Atakuwa anajua jua,maana ukikaa na hao kina Sisco ,wanaweza kukupa kopi 3 tu ukaenda nazo sehemu utawapiga had wakuogope Click to expand... Hahaaaaa,ni kweli tena huwa sometimes anawaachia wamfunge anawatamanisha wamuone wa kawaida,halafu baadae anawaambia wacheze la hela,hapo ndipo anapowagonga sasa
hamis77 said: Atakuwa anajua jua,maana ukikaa na hao kina Sisco ,wanaweza kukupa kopi 3 tu ukaenda nazo sehemu utawapiga had wakuogope Click to expand... Hahaaaaa,ni kweli tena huwa sometimes anawaachia wamfunge anawatamanisha wamuone wa kawaida,halafu baadae anawaambia wacheze la hela,hapo ndipo anapowagonga sasa
Moshi25 JF-Expert Member Joined May 6, 2022 Posts 2,555 Reaction score 4,118 Jan 28, 2025 #104 mkorea said: Nitamsubiri bingwa nichuane nae Yule mkulima wa online walimshindwa? Click to expand... Unaambiwa alikuwa anacheza na kijiji cha Manyanya matulatula wote wenye majina makubwa na akawa anawatoboa!
mkorea said: Nitamsubiri bingwa nichuane nae Yule mkulima wa online walimshindwa? Click to expand... Unaambiwa alikuwa anacheza na kijiji cha Manyanya matulatula wote wenye majina makubwa na akawa anawatoboa!
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jan 28, 2025 #105 Inapendeza... Cc: Mahondaw
hamis77 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 13,628 Reaction score 20,992 Jan 28, 2025 Thread starter #106 Moshi25 said: Unaambiwa alikuwa anacheza na kijiji cha Manyanya matulatula wote wenye majina makubwa na akawa anawatoboa! Click to expand... Yana ukweli haya ?
Moshi25 said: Unaambiwa alikuwa anacheza na kijiji cha Manyanya matulatula wote wenye majina makubwa na akawa anawatoboa! Click to expand... Yana ukweli haya ?