Gordian Anduru
JF-Expert Member
- Apr 16, 2021
- 369
- 747
Al ahly Tripoli ilikuwa ni timu ya kwanza kufuzu robo fainali caf confederation cup mwaka huu baada ya kuichapa pyramid 1-0 kwenye mchezo wa raundi ya tano
Lakini cha kushangaza Al ahly Tripoli hao hao walichezea kichapo cha bao 2-0 kwa biashara united kwenye hatua za mwanzo mwanzo na kilichofanya waendelee kubaki mashindanoni ni 'uzembe' wa Biashara kukosa nauli
Mashindano ya Caf confederation cup ni mepesi kuliko ligi kuu ya NBC ( I STAND TO BE CORRECTED KWA HOJA SIYO MITUSI)
Watu wengi wamekuwa wakijiuliza sababu ya SIMBA kufanya vizuri kimataifa ilhali huku nyumbani wanashindwa kuongoza Ligi.
Mimi nasema nadiriki kusema kwamba Kombe la shirikisho ni jepesi kuliko Ligi yetu kubwa ya NBC
MKIMALIZA SHEREHE ZENU ZA KUTIINGA ROBO KARIBUNI KWENYE LIGI