Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Hoja yako nyepesi sana mkuu, ligi ya NBC na CAF CONFEDERATION WAPI NA WAPI SASA? mechi 6-7-8 za shirikisho vs mechi 30+ za ligi kuu wapi na wapi ? halafu ligi ya confederation ni ya mtoano wakati NBC ni ya kukusanya point mshindi ndio apatikane...Al ahly Tripoli ilikuwa ni timu ya kwanza kufuzu robo fainali caf confederation cup mwaka huu baada ya kuichapa pyramid 1-0 kwenye mchezo wa raundi ya tano
Lakini cha kushangaza Al ahly Tripoli hao hao walichezea kichapo cha bao 2-0 kwa biashara united kwenye hatua za mwanzo mwanzo na kilichofanya waendelee kubaki mashindanoni ni 'uzembe' wa Biashara kukosa nauli
Mashindano ya Caf confederation cup ni mepesi kuliko ligi kuu ya NBC ( I STAND TO BE CORRECTED KWA HOJA SIYO MITUSI)
Watu wengi wamekuwa wakijiuliza sababu ya SIMBA kufanya vizuri kimataifa ilhali huku nyumbani wanashindwa kuongoza Ligi. Mimi nasema nadiriki kusema kwamba Kombe la shirikisho ni jepesi kuliko Ligi yetu kubwa ya NBC
MKIMALIZA SHEREHE ZENU ZA KUTIINGA ROBO KARIBUNI KWENYE LIGI
View attachment 2175516
View attachment 2175519
Kufungwa mechi moja tu ndio kipimo cha kufanananisha ligi kweli? mmmh hapana sikubaliani nawe