Ligi ya NBC iko juu kuliko CAF Confederation Cup. Al-Ahly Tripoli walifungwa 2-0 na Biashara United ila wametinga robo fainali na wanaongoza kundi

Gordian Anduru

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2021
Posts
369
Reaction score
747
Al ahly Tripoli ilikuwa ni timu ya kwanza kufuzu robo fainali caf confederation cup mwaka huu baada ya kuichapa pyramid 1-0 kwenye mchezo wa raundi ya tano

Lakini cha kushangaza Al ahly Tripoli hao hao walichezea kichapo cha bao 2-0 kwa biashara united kwenye hatua za mwanzo mwanzo na kilichofanya waendelee kubaki mashindanoni ni 'uzembe' wa Biashara kukosa nauli

Mashindano ya Caf confederation cup ni mepesi kuliko ligi kuu ya NBC ( I STAND TO BE CORRECTED KWA HOJA SIYO MITUSI)
Watu wengi wamekuwa wakijiuliza sababu ya SIMBA kufanya vizuri kimataifa ilhali huku nyumbani wanashindwa kuongoza Ligi.

Mimi nasema nadiriki kusema kwamba Kombe la shirikisho ni jepesi kuliko Ligi yetu kubwa ya NBC
MKIMALIZA SHEREHE ZENU ZA KUTIINGA ROBO KARIBUNI KWENYE LIGI



 
Mwanaume anaongoza ligue wakati mwanamke yupo kutoa utamu kila mtaa, watu watajipimia sana magoli.
 
hebu ngoja kwanza. bado shughuli yetu hatujaimaliza

 
Kwa hiyo kwa upuuzi wako huu unamaanisha Kagera sugar na Mbeya city walioifunga Simba msimu huu NBC league wao ni bora kuliko Simba?, unafikiri ubora wa timu unapimwa kwa mechi moja?.

Yanga amekuwa bingwa na mara ngapi ligi kuu Tanzania, lakini kama unadhani huko CAF ni kwepesi mbona huwa anavuna mabua miaka yote?.

Uwe unatumia akili ipasavyo japo kidogo kuandika upupu wako hapa.
 
Kama ni hivyo basi Rivers utd angekuwa ndie bingwa mtarajiwa wa CAF Confederation maana alimfunga nje ndani anaengoza ligi ya NBC, lakini huyo Rivers utd hata makundi tu ya Confederation au champions hajaingia. Je unasemaje hapo?
 
Tuhitimishe mjadala kwa kusema kwamba ligi ya NBC ni bora kwa sababu Biashara alimfunga Al Ahly Tripoli. Na kwasabab Al Ahly Tripol amefuzu kucheza robo fainal basi CAFCC Ni ligi nyepesi na haina ubora.
 

Bao ulilopatikana ni bora lingeishia kwenye kondomu au chooni....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…