Ligi ya NBC iko juu kuliko CAF Confederation Cup. Al-Ahly Tripoli walifungwa 2-0 na Biashara United ila wametinga robo fainali na wanaongoza kundi

Hoja yako nyepesi sana mkuu, ligi ya NBC na CAF CONFEDERATION WAPI NA WAPI SASA? mechi 6-7-8 za shirikisho vs mechi 30+ za ligi kuu wapi na wapi ? halafu ligi ya confederation ni ya mtoano wakati NBC ni ya kukusanya point mshindi ndio apatikane...

Kufungwa mechi moja tu ndio kipimo cha kufanananisha ligi kweli? mmmh hapana sikubaliani nawe
 
Aliyefunga anaongoza ligi aliyefungwa yuko wapi
 
Umenena fact, ningekuwa Mimi mtoa mada ningesalimu amri tu..!
 
hahahhahaha unaujua mpira wewe kwamba ubora ni timu ni kumfuga timu flani? kwa hyo simba ilipomfunga alhaly simba ikawa timu nzuri kuliko alhaly
 
Ilikuwa msimu uliopita , hao Al - Ahly tripoli hawajabadilika?? Wapo vile vile tu ?? na je mchezo wa marudiano walicheza??
Mfano. Barcelona ya mwaka jana na ya sasa vipo sawa?
Hiyo timu ya libya wana mafanikio gani Africa tokea ianzishwe, na ligi yetu ina bora kutokana na mafanikio ya Simba au Biashsra?

Mfano: Totenham mwaka huu kamfunga Man city kwake, mpaka sasa nani bora?
Mbeya City kamfunga Simba na katoa sare na Yanga Dar - hadi sasa anaongoza ligi?

Ndugu yangu mpira sio mechi moja , mpira sio ligi ya mechi moja , mpira sio hivyo......

Namungo alingia makundi ambayo hadi leo Azam anaota kuingia - angalia mazingira bahati one match result lakini kwa ujumla wa yoote mpira ni kuvuka hatua hadi hatua.
Simba alimfunga Al Ahly mara mbili - ambaye ni bingwa wa Africa na nafasi tatu duniani
Haina maana Simba bora bali ilikuwa one match only result.
Siwezi kukupa mifano mingi nadhani utaelewa.
 
Naunga hoja mkono
 
SIO MZIMA WW. MWENDAWAZIMU
 
Urudishwe Milembe ukapimwe tena . Hujapona sawasawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…