Ligi ya NBC iko juu kuliko CAF Confederation Cup. Al-Ahly Tripoli walifungwa 2-0 na Biashara United ila wametinga robo fainali na wanaongoza kundi


Simba aliimfinga AL ahly mara mbili pia nakumbuka Yanga pia alimfunga al ahly yote hii inadhihirisha ubora wa ligi yetu
 
hahahhahaha unaujua mpira wewe kwamba ubora ni timu ni kumfuga timu flani? kwa hyo simba ilipomfunga alhaly simba ikawa timu nzuri kuliko alhaly
Sijaongelea mechi moja, Nimezungumzia timu za NBC ambapo biashara amemchapa Al ahly Tripoli , Simba kutoka NBC premier league amewachapa RSB, ASEC, USGN na hata al ahly kipindi kilichopita na nyie nyie makolo mliwahi kuleta nyuzi za ligi ya Tanzania kuwa ya TISA
 
Yanga mwaka juzi mli draw na Township ship rollers ya Botswana mkaenda kwao mkatolewa kirahisi katika hatua za awali, mwaka huu mmepigwa nje ndani na rivers United kwenye hatua za awali kwa hiyo mna ubora gani?
 
sasa naona umuhimu wa matumizi ya kondomu. kama mzazi wako angetumia kondom leo hii usingekuwa unachafua jina lake namna hii.
 
Kama ni hivyo basi Rivers utd angekuwa ndie bingwa mtarajiwa wa CAF Confederation maana alimfunga nje ndani anaengoza ligi ya NBC, lakini huyo Rivers utd hata makundi tu ya Confederation au champions hajaingia. Je unasemaje hapo?
Bora wewe Mkuu unajaribu kujibu hoja za mtoa Mada....!
Nimesoma comments za wadau hapo juu, kuna watu ni Zero brain kabisa.
 
Ndizo hoja ninazitarajia sana kutoka kwa wachunga ng'ombe,wao starehe ya mpira ni maneno maneno tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…