Faru Tobbi
Senior Member
- Oct 29, 2018
- 195
- 201
maswala ya simba na yanga ukikuta yanazungumziwa ata proffesa huwa hana tofauti na mtu wa la saba tuishie hapo mpiga makeleleSijaongelea mechi moja, Nimezungumzia timu za NBC ambapo biashara amemchapa Al ahly Tripoli , Simba kutoka NBC premier league amewachapa RSB, ASEC, USGN na hata al ahly kipindi kilichopita na nyie nyie makolo mliwahi kuleta nyuzi za ligi ya Tanzania kuwa ya TISA
usisahau kuwa kuna timu inaitwa rivers walimfunga bigwaa wa ligi hii hii na wameshatolewa kwenye michuanoOna hii jingaView attachment 2175527
Hii kitu huwa nawaambia watu wengi. Sijui wana nini hawa watu kinawapata kichwani kwao wakianza kuongelea mambo ya Simba na Yanga. Akili zao huruka na sijui huwaza kwa kutumia nini maana hata masaburi hapa hayafikii😄😄🤣maswala ya simba na yanga ukikuta yanazungumziwa ata proffesa huwa hana tofauti na mtu wa la saba tuishie hapo mpiga makelele
Sikubaliani na hoja ya mwenye Uzi, na vile vile utetezi wako wa kupinga hoja yake kwa kuzihusisha mechi mbili za Yanga na Rivers.Kama ni hivyo basi Rivers utd angekuwa ndie bingwa mtarajiwa wa CAF Confederation maana alimfunga nje ndani anaengoza ligi ya NBC, lakini huyo Rivers utd hata makundi tu ya Confederation au champions hajaingia. Je unasemaje hapo?
Haya ngoja twende hivi basi; Wachezaji ambao hawakushiriki dhidi ya rivers utd ni 3 ( Aucho, Mayele na Djuma) lakini hawa wachezaji 3 walikuwepo mechi ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya Zanaco ambapo yanga ilifungwa ikiwa nyumbani. Zanaco imeshika mkia kwenye kundi lake ambalo limeongozwa na Al ahly Tripol na pia huyo Zanaco kafungwa mechi zote mbili na Al ahly tripoli.Sikubaliani na hoja ya mwenye Uzi, na vile vile utetezi wako wa kupinga hoja yake kwa kuzihusisha mechi mbili za Yanga na Rivers.
Huoni kwamba mafanikio ya Yanga kwenye NBC kwa kiasi kikubwa yamechangiwa na wachezaji ambao hawakushiriki kwenye zile mechi mbili?.
huwezi kukosa kutukanwa makolo wengi humuWewe mwenyewe umeandika ujinga ndio maana umejihami usitukanwe.Ila kwa ujinga huu na utukanwe tu.
Ile ni mechi ya kirafiki haichukuliwi serious kihivyo na ndio maana unakuta sub zinakuwa zaidi ya zile zilizoruhusiwa.Haya ngoja twende hivi basi; Wachezaji ambao hawakushiriki dhidi ya rivers utd ni 3 ( Aucho, Mayele na Djuma) lakini hawa wachezaji 3 walikuwepo mechi ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya Zanaco ambapo yanga ilifungwa ikiwa nyumbani. Zanaco imeshika mkia kwenye kundi lake ambalo limeongozwa na Al ahly Tripol na pia huyo Zanaco kafungwa mechi zote mbili na Al ahly tripoli.
Nasisitiza , Al ahly Tripoli kamfunga Zanaco home and away. Zanaco alimfunga huyu anaeongoza ligi ya NBC akiwa na kikosi chake hiki hiki anachoshindia ligi. Je hapo vipi , NBC ni ngumu kuliko CAF Confederation?