Ligi ya Uingereza ipigwe marufuku kuonyeshwa hapa Tanzania . Ni kwa kusapoti ushoga

Ligi ya Uingereza ipigwe marufuku kuonyeshwa hapa Tanzania . Ni kwa kusapoti ushoga

Ku remove gay flags huku una elect hao hao kwenye team yako ya uongozi ni upumbavu.

Enjoy the sport, mengine waachie wao, ww ukikaa unauliza kichwa tandale kwa tumbo ukidhani watatimiza matakwa yako basi unapoteza muda
Unadhani kwa nini Trump ameungwa mkono? Kuna uharibifu mkubwa sana kwa jamii kupitia hiyo Gay flag
 
Tatizo tukiwaambia achaneni na mipira ni dhambi mnatuona wajinga
Tukisema Duniani, wanadamu hawana dhambi na hakuna Amri za dhambi, ukiondoa. Amri ni moja tu Upendo. Pendaneni, ondoeni ujinga wa kuendelea na life style ya mababu fulani. Mungu hajawahi kanyaga chini.
 
Iv mnajua bage za fifa inaenda kuwekewa rainbow, sasa zikianza kutumika kwenye ligi zetu hiz za dunia ya tatu, sjui itakuaje🤣🤣, mashabiki simba na yanga sijui wataacha kuangalia ama vipi.
 
You see shida ndio hiko apo just because naupenda mpira, nashabikia mpira haimaanishi na support hayo mambo

Wachezaji wengi epl hawa support hayo but regulation ikiwabana hawawez acha kucheza mpira, hawa end career zao sababu wamevaa kijitambaa fulani

Watu wanashabikia mpira si kitambaa fulani kisicho saidia chochote uwanjani.

Ulikuwa wapi misimu mitatu iliyopita walipoanza kuvaa hivi?
Unafikiri hao LGBTQ ni wajinga kulipa mamilioni ya Dollar kutangaza huo upuuzi kwa kupitia mpira kama haina impact yeyote?

Unafikiri ni kwanini matangazo ya Sigara yanapigwa marufuku? ndio maana matangazo ya sigara kama Marlboro yalipigwa marufuku kwenye Formula 1? kwanini wasiwaze kama wewe tu kua Angalia tu mashindano ya Magari,hayo mengine hayana impact?

Kuna athari kubwa sana kutangaza huo ushoga kuliko unavyofikiria,LGBTQ sio wajinga kumwaga hela zote hizo,

Mleta mada yupo sahihi kabisa.
 
Umeandika kwa kutumia internet inayotumia mkonga wa kimatifa wa internet ambayo unafadhiliwa na mataifa yanayosupport ushoga. Hapo ulipo ukijikagua vizuri kuanzia nguo zako hadi vifaa vyako vya nyumbani utakuta Ushoga mtupu.
 
Wanaotafunwa wamekujaa juu sana mbona kwenye huu uzi au mmewagusa pabaya..
 
Tuige mfano wa Donald Trump. Amepiga biashara ya ushoga kufundishwa mashuleni kwa kuwapa sapoti Mashoga.

Huu ni upuuuzi
View attachment 3166803
kosa la epl ni lipi kuwaheshimu mashoga au kukulazimisha uwe shoga ? swala la ushoga ni hiari kam ilivyo hiari kuoa mwanamke wa imani au kabila lolote , so kikubwa jitunz tu wahuni wasikipasue kijambio hiko
 
Unafikiri hao LGBTQ ni wajinga kulipa mamilioni ya Dollar kutangaza huo upuuzi kwa kupitia mpira kama haina impact yeyote?

Unafikiri ni kwanini matangazo ya Sigara yanapigwa marufuku? ndio maana matangazo ya sigara kama Marlboro yalipigwa marufuku kwenye Formula 1? kwanini wasiwaze kama wewe tu kua Angalia tu mashindano ya Magari,hayo mengine hayana impact?

Kuna athari kubwa sana kutangaza huo ushoga kuliko unavyofikiria,LGBTQ sio wajinga kumwaga hela zote hizo,

Mleta mada yupo sahihi kabisa.
Tuache kuangalia mpira kisa majukwaa ya Uingereza yamejaa mashoga?.

Hao hao mashoga wanatupa mabilioni ya pesa kwa ajili ya kuifadhili miradi yetu mikubwa, mbona hatuzikatai hizo pesa?.

Wateja wakubwa wa ile shughuli ya Arusha ya ma-landrover ni wazungu ambao wana ushoga mwingi miongoni mwao, na hiyo ni moja tu ya namna tulivyozungukwa na ushoga kwa maana kwamba pato letu lina muingiliano nao.
 
Soma tena comment yangu uielewe.

Nimeelezea athari za kuitangaza na kuipromote LGBTQ
 
Soma tena comment yangu uielewe.

Nimeelezea athari za kuitangaza na kuipromote LGBTQ
Hata wanaokaa majukwaani na kuonyeshwa na kamera za TV wanautangaza ushoga pia.

Papa wa sasa alisema tuwe tunaiombea dunia na matatizo inayoyapitia kila tunapoongea na Mungu kwa njia ya imani.
 
Hata wanaokaa majukwaani na kuonyeshwa na kamera za TV wanautangaza ushoga pia.

Papa wa sasa alisema tuwe tunaiombea dunia na matatizo inayoyapitia kila tunapoongea na Mungu kwa njia ya imani.
Papa alisema wabarikiwe.
 
Attachments

  • Screenshot_20241005_010637_WhatsAppBusiness.jpg
    Screenshot_20241005_010637_WhatsAppBusiness.jpg
    324.7 KB · Views: 2
Back
Top Bottom