cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Mambo mengine si uache yakupite tu au utasumbua Moyo wako.
Wengine miaka hata hapa nchini na kijijini nilipo hayaongelewi ila yapo. Tuliyaona huko kwa wengine.. Ila hatukuyajali hayakutusumbua zaidi ya kuelimisha uzao wetu maisha yanaendelea. Bali ulijua suala hili lipo na kulichunguza na kujifunza kama kumbeeeee.. Oooh
Eeeeeh miaka hiyo wao walikuwa wanajiachia tu ukikutana nao. Sasa eneo moja la soho kutaka bata tukakosea tukaingia bar moja 😂😂😂😂 tukatoka mbio ila tuliona na wenzangu tumeyajua..
Hayakutusumbua hadi leo hii tunaishi wao na yao kila mtu atajiju
Watoto wetu wa kiume tuwafunze mapema na kuwatafutia wachumba, acheni wacheze na wasichana hata wakiwa wadogo. Sawa tu imesaidia.. Shule hakuna kusoma ya boys only